siwezi kumpenda nilichukia tangu alivyosema watu wapige mbizi hapo ikawa ndo mwisho wa kumthamini hata afanye nini hata asingekuwa na cheo alicho nacho kwa sasa nilimchukia kabisa sasa hivi hata afanye jema gani bado namuhesabia si lolote............Mkuu, chuki ni mbaya. Hebu panda mbegu za upendo moyoni mwako na usambae hata kwa waiba kura!
Unajiamini mkuu mie kungurusiwezi kumpenda nilichukia tangu alivyosema watu wapige mbizi hapo ikawa ndo mwisho wa kumthamini hata afanye nini hata asingekuwa na cheo alicho nacho kwa sasa nilimchukia kabisa sasa hivi hata afanye jema gani badi namuhesabia si lolote............
nilimweka kwenye kundi la...........
sasa kwani lazma nimpende kisa ?kina lizaboni ,mudawote, motosijui nini... wanamtoshaUnajiamini mkuu mie kunguru
teheteheKunguru Hafugiki Ndugu yangu
ni lazima umpende ni mkulu wa nchisasa kwani lazma nimpende kisa ?kina lizaboni mudawote motosijui nini wanamtosha
msemakweli ni mpenzi wa mungu.... simpendini lazima umpende ni mkulu wa nchi
cheo chake heshima + upendo mengine baadae na anaomba umuombee hilo ndilo neno lake muda wote asimamapo mbele za watu
humpendi ila unamkubali na kura ulimpam
semakweli ni mpenzi wa mungu.... simpendi
Kwa nini usijiuwe?namchukia mtu huyu................
naandika kutoka kaburini... nishakufa zamaniiKwa nini usijiuwe?
ni lazima umpende ni mkulu wa nchi
cheo chake heshima + upendo mengine baadae na anaomba umuombee hilo ndilo neno lake muda wote asimamapo mbele za watu
karibuMi mwenyewe namchukia
Niache kuombea vitu vya msingi nimuombee huyo? Your not serious mkuu. labda kwa shetani but si kwa MUNGU ninaye muabudu. Overni lazima umpende ni mkulu wa nchi
cheo chake heshima + upendo mengine baadae na anaomba umuombee hilo ndilo neno lake muda wote asimamapo mbele za watu