Video:Hii ndio sababu Wazungu wamefanya Yesu afanane nao.,Ukimuudhi Mzungu umemuudhi Yesu,kutokana na kauli ya huyu jamaa katika video

chabuso

JF-Expert Member
Feb 18, 2013
6,380
5,871
.

Hii Habari imetokea Uganda,ukimsikiliza vizuri huyu mzungu ambae anatokea Marekani anasisitiza kusema kuwa "humjali Yesu,unamdhalilisha Yesu" nk,Yesu alikuwa ni Myahudi,kazaliwa Mashariki ya kati,wayahudi rangi ya ngozi yao haina tafauti na warabu,ukenda mbali zaidi hawa ni "cousins" yaani wote wametokea kwenye ukoo wa Ibarahim(Abraham)...

Lakini kutokana na wazungu kutaka kuabudiwa na kuheshimiwa na watu wengine Duniani,wanaiweka na kuifanya picha ya Yesu(Jesus) iwe imefanana na wao,Wazungu waliitawala Afrika kwa kuwatumia wamishinary ili watie kasumba wafrika kuwa Yesu ni mzungu,ukiangalia hii vidio unaweza kunifahamu nini nimekusudia...

Karibuni wadau kuchangia mawazo yenu...
 
Si ajabu baadaye aliwaomba msamaha wa kinafki na kuwapiga lager na vidola mia mbili tatu,kafanya makusudi kwa sababu anajua baadhi ya sisi waafrika tunawaona superior.Fuckin WHITE TWAT.
 
Back
Top Bottom