VIDEO - Hii Kali, Mchezaji Afungiwa Kwa Kuzamisha Vidole Kwenye Makalio ya Mwenzake

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,299
33,080
6039462.jpg

Mohammad Nosrati akizamisha vidole vyake kwenye makalio ya mwenzake
Thursday, November 03, 2011 12:46 AM
Haijawahi kutokea mchezaji akashangilia goli kwa kuzamisha vidole vyake kwenye makalio ya mchezaji wa timu yake huku mechi ikirushwa LIVE kwenye luninga. Hiyo imetokea kwenye mechi ya ligi kuu nchini Iran na kupelekea viongozi wa dini nchini humo kuja juu.
Shirikisho la soka nchini Iran limewafungia kucheza soka kwa muda usiojulikana wachezaji wawili kwa kile kilichoelezewa kuwa ni kitendo cha aibu kinyume na maadili.

Mchezaji wa timu kubwa nchini Iran ya Persepolis, Mohammad Nosrati alionekana LIVE mbele ya maelfu ya watu waliokuwa wakiifuatilia mechi ya ligi kuu kati ya Persepolis na Damash Gilan, akizamisha vidole vyake kwenye makalio ya mchezaji mwenzake Sheys Rezaei wakati wachezaji wa timu hiyo walipokuwa wakishangilia goli.

Mechi hiyo iliyochezwa siku ya jumamosi, ilikuwa ikirushwa LIVE kwenye televisheni ya Iran.

Wakati wachezaji wa timu ya Persepolis wakishangilia goli kwa kukumbatiana, Nosrati alijiunga na wenzake kushangilia goli hilo lakini kwa staili yake mwenyewe ya kuzamisha vidole kwenye makalio ya mwenzake.

Kitendo hicho kimesababisha shirikisho la soka la Iran liamue kuwafungia wachezaji wote wawili pamoja na kuwapiga faini ya paundi 25,000.

Viongozi wa dini nchini Iran nao wamekuja juu wakitaka adhabu kali itolewe kwa wachezaji hao kutokana na kitendo hicho cha aibu mbele ya maelfu ya watu waliokuwa wakiifuatilia mechi hiyo.

Jalal Yahyazadeh, mmoja wa viongozi wa dini nchini Iran na mjumbe katika bunge la Iran, alisema "Hiki ni kitendo cha aibu, kimewaudhi na kuwakera wapenzi wote wa michezo".

Angalia chini VIDEO ya kitendo hicho kilichozua mtafaruku nchini Iran.

VIDEO - Hii Kali, Mchezaji Afungiwa Kwa Kuzamisha Vidole Kwenye Makalio ya Mwenzake



Kidole nacho kinacheza mpira? Wazungu Bwanaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

<tbody>
</tbody>
 
Last edited by a moderator:
Inawezekana hawa jamaa wakaishia jela,ila sioni kosa la aliyeshikwa maana inaonesha kabisa hakupenda kufanyiwa vile
 
Aliyefanyiwa kile kitendo inaonekana wazihakupenda alikuwa akiuondoa ule mkono uliokuwa nyuma !!
 
sasa cameroon anapingwa nini? kumbe hata huku kwetu, waasalaam aleikum kaingia, astakafi ru lah vile. Cameroon asomehe albadiri,
TAKBIH
 
Inaonekana kama jamaa alikuwa anamvizia alipe kisasi flani hivi.Nafikiri jamaa alikuwa anamtafuta mda mrefu siku hiyo jamaa akaingia kwenye 18 zake jamaa akatumbukiza midole yake.
 
Ahahaah, hawa wanajuana, sema jamaa kaona noma tu kwa kuwa kitu ni live kwa Tv. Baada ya mechi itakuwa walienda ku cameruniana masaburi yao
 
6039462.jpg

mohammad nosrati akizamisha vidole vyake kwenye makalio ya mwenzake
thursday, november 03, 2011 12:46 am
haijawahi kutokea mchezaji akashangilia goli kwa kuzamisha vidole vyake kwenye makalio ya mchezaji wa timu yake huku mechi ikirushwa live kwenye luninga. Hiyo imetokea kwenye mechi ya ligi kuu nchini iran na kupelekea viongozi wa dini nchini humo kuja juu.
shirikisho la soka nchini iran limewafungia kucheza soka kwa muda usiojulikana wachezaji wawili kwa kile kilichoelezewa kuwa ni kitendo cha aibu kinyume na maadili.

Mchezaji wa timu kubwa nchini iran ya persepolis, mohammad nosrati alionekana live mbele ya maelfu ya watu waliokuwa wakiifuatilia mechi ya ligi kuu kati ya persepolis na damash gilan, akizamisha vidole vyake kwenye makalio ya mchezaji mwenzake sheys rezaei wakati wachezaji wa timu hiyo walipokuwa wakishangilia goli.

Mechi hiyo iliyochezwa siku ya jumamosi, ilikuwa ikirushwa live kwenye televisheni ya iran.

Wakati wachezaji wa timu ya persepolis wakishangilia goli kwa kukumbatiana, nosrati alijiunga na wenzake kushangilia goli hilo lakini kwa staili yake mwenyewe ya kuzamisha vidole kwenye makalio ya mwenzake.

Kitendo hicho kimesababisha shirikisho la soka la iran liamue kuwafungia wachezaji wote wawili pamoja na kuwapiga faini ya paundi 25,000.

Viongozi wa dini nchini iran nao wamekuja juu wakitaka adhabu kali itolewe kwa wachezaji hao kutokana na kitendo hicho cha aibu mbele ya maelfu ya watu waliokuwa wakiifuatilia mechi hiyo.

Jalal yahyazadeh, mmoja wa viongozi wa dini nchini iran na mjumbe katika bunge la iran, alisema "hiki ni kitendo cha aibu, kimewaudhi na kuwakera wapenzi wote wa michezo".

Angalia chini video ya kitendo hicho kilichozua mtafaruku nchini iran.
video - hii kali, mchezaji afungiwa kwa kuzamisha vidole kwenye makalio ya mwenzake



kidole nacho kinacheza mpira? Wazungu bwanaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

<tbody>
</tbody>


duuu kazi kweli
 
Last edited by a moderator:
Hawa jamaa zake na fisadi wetu RA ina maana hawajui uislamu unasema nini kuhusu vitendo hivyo? Kwa uthibitisho huu unatosha kujua waarabu ni watu wa namna gani!
 
kwani na yeye alikuwa anataka msaada.. Huko kwao hiyo ni sawa tu ila tatizo imeonekana live bila chenga
 
Sasa huyu aliyetumbukiziwa madole anahukumiwa kwa kosa gani??..
IIlikuwa halali kwa huyo Nosrat..
Sheria zingine bwana??..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom