video haziplay

fimboyaasali

JF-Expert Member
Jan 14, 2011
8,380
7,899
kuna baadhi ya video ambazo zinapostiwa hapa jamiiforum,napojaribu kuziplay kwenye hii simu yangu hazikubali,natumia samsung note 9,wajuzi nifanyeje?
 
Zina quality au hazina quality check it km zina quality , use VLC MEDIA to play it .
 
Back
Top Bottom