Video: Hawa ndio wananchi wazalendo

Mnavyohangaika hapa JF kama mngalikuwa mnatafuta wanachama vijijini sidhani kama chaguzi zijazo CCM wangeambulia hata kura moja!
 
Mimi najitoa uraia na kitambulisho changu nimekiacha Kilosa kwa bi mkubwa mkipende kakichukueni
 
Back
Top Bottom