VIDEO:Hatimaye wabunge "MAKASUKU" wa CCM "wajianika" leo kumjibu Zito ...

kasenene

JF-Expert Member
Jun 6, 2008
1,632
2,413
Baada ya zito kuwachokonoa hatimaye wale wabunge wa CCM maarufu kwa jina la "makasuku" leo kwa umoja wao wakiongozwa na "Kibajaji" wamejitokeza kumjibu Zito...kumbuka katika "press" yake ya juzi,Zito alisema sio wote wabunge wa CCM kwamba ni Makasuku ..tunashukuru leo wamejitokeza angalau hata sie tuliokuwa tunawafahamu wachache tumeweza kuwaona wengine...

Baada ya zito kuwachokonoa hatimaye wale wabunge wa CCM wanaojulikna kwa jina maarrufu kwa sasa "makasuku" leokwa umoja wao wakiongozwa na "KIibajaji" mmojawapo wa vinara wa Wabunge Makasuku wamejitokeza kumjibu Zito...kumbuka katika press ake zito alisema sio wwote Wabunge wa CCM kwamba ni Makasuku ..tunashukuru leo wamjitokeza angalau hata sie tiliokuwa tunawafahamu wachache tumeweza kuwaona wengine...

Ccm ni janga la taifa
 
Mtoto mdogo kama huyo Halima Bulembo anaweza kuwa mchawi.. Kwa nini hatumii akili yake vizuri kufikiri?
 
Mi naona kuwa chama cha upinzani ni mpaka uwe umefuzu lugha za kuudhi, kero, fitina, matusi, kejeli na kushabikia kwa kufuata mkumbo utajua mbele ya safari. Nyumbu oyee
 
Hiii mijitu sasa ndo imeongea nn kama hiko cha mwisho eti jamahuri ya ccm \ndo maaana yanaogopa mijadala kichwani matupu aisee
 
Baada ya zito kuwachokonoa hatimaye wale wabunge wa CCM maarufu kwa jina la "makasuku" leo kwa umoja wao wakiongozwa na "Kibajaji" wamejitokeza kumjibu Zito...kumbuka katika "press" yake ya juzi,Zito alisema sio wote wabunge wa CCM kwamba ni Makasuku ..tunashukuru leo wamejitokeza angalau hata sie tuliokuwa tunawafahamu wachache tumeweza kuwaona wengine...

Pumbavu Kabisa
 
Mtoto mdogo kama huyo Halima Bulembo anaweza kuwa mchawi.. Kwa nini hatumii akili yake vizuri kufikiri

Like father like daughter!! Waswahili wana msemo "TUNDA HALIANGUKI MBALI NA MTI". Huyu binti hana akili kabisa, Yaani kwavile Zitto alipelekwa nyumbani kwake na gari la Spika basi asiseme kuwa kuna mtu shushushu wa usalama wa taifa kamtishia kumuua kwenye viunga vya bunge!! Hilo la wabunge kutishiwa kwenye viunga vya bunge peke yake linaonesha kuwa kuna udhaifu katika kuiongoza taasisi hiyo.
 
Back
Top Bottom