Video: Halmashauri kuu ya TLP yampitisha Dr. John Magufuli kuwa Mgombea Urais 2020

Huyu hapa Lyatonga Mrema akifafanua

Sisi kutokana na utendaji bora uliotukuka wa Rais wetu mpendwa Dr. Magufuli, Halmashauri kuu ya TLP ilikutana miezi miwili iliyopita na kumpitisha Rais Magufuli kuwa mgongea wa urais wa TLP 2020.

Sisi tutamuunga mkono huyu Rais bora, tukimpoteza hatuwezi kupata Rais mwingine kama huyu.
Ha haaa! Kumbuka mda wake wa uenyekiti wa bodi ya Parole umekwisha... Atakuwa anastua stua ili akumbukwe kwenye ngwe ya pili baada ya yeye 'kumuongezea' mheshimiwa ngwe nyingine... Kumbuka principle of reciprocity!
 
Huyu hapa Lyatonga Mrema akifafanua

Sisi kutokana na utendaji bora uliotukuka wa Rais wetu mpendwa Dr. Magufuli, Halmashauri kuu ya TLP ilikutana miezi miwili iliyopita na kumpitisha Rais Magufuli kuwa mgongea wa urais wa TLP 2020.

Sisi tutamuunga mkono huyu Rais bora, tukimpoteza hatuwezi kupata Rais mwingine kama huyu.

Wacha wafu wazike wafu wao!

Group la degenerates!
 
Mambo mengine mpaka aibu sasa siwachukue kadi za ccm tu kijulikane.
Mambo haya yapo hadi Ulaya na Marekani, kumuunfa mkono Kiongozi wa juu pale anapoonesha kuwa ni bora na anahitajika. Mbona huyo Mbowe wako hujamtaka kuondoka ? Yeye ni Sultan ?
 
Huyu hapa Lyatonga Mrema akifafanua

Sisi kutokana na utendaji bora uliotukuka wa Rais wetu mpendwa Dr. Magufuli, Halmashauri kuu ya TLP ilikutana miezi miwili iliyopita na kumpitisha Rais Magufuli kuwa mgongea wa urais wa TLP 2020.

Sisi tutamuunga mkono huyu Rais bora, tukimpoteza hatuwezi kupata Rais mwingine kama huyu.
Demo-krasia
 
Ivi hiki chama kinawanachama wangapi aisee? Kama c mrema peke ake
 
Ni bora wameamua kudeclare maana sidhani kama wanaweza kumsimamisha competitor wa kuchuana na raisi.
 
Back
Top Bottom