Video: Haji Manara ana hali mbaya sana; anafuta kukubalika kwa kila namna

Total trophies mnazo ngapi mzee?
Shida mmeshikiwa akili. Mnapelekwa kama Nyumbu.

Kwenye list yenu mnaweka mabonanza ya mtani jembe. Are you serious? Mtani Jembe ni trophy???

Na hiyo ya FA kuweka Yanga kashinda kombe moja are you serious? Toka FA ilipoanza mwaka 74, Yanga kabeba mara moja? Mwaka 1975 alibeba nani? 1994? 1999? 2015?

Pathetic.

Screenshot_20210908-222618.jpg
 
View attachment 1930526

Hahah utopolo kashashikwa wowowo kaja na takwimu zake toka kwa manara.
 
Unaongea kitu usichokuwa na taarifa nacho. Unadhani kila mtu ni mbuzi tu wa kulishwa bila kuuliza, ewe kolo? Unakwapua tu kitu mtandaoni na kushikia bango huku ukiambiwa u-prove huwezi. Ingia official websites za timu husika, wameweka honors, tazama then leta hizo pumba zako mnazolishana kwenye vijiwe mnavyofanana akili
 
😁😁😁 Naona manara kawashika wezere ipasavyo Sasa ndio mnakumbuka Kuna ku visit official websites za timu husika,shubamiiiiiit.
 
Aisee bongo nyoso
Hivi ndio watu wanatafuta hela ya kuishi
Kwanini Yanga hawamchapi viboko huyu
 
Back
Top Bottom