Uchaguzi 2020 Video: Gwajima ukiwa muongo usiwe msahaulifu, alisema Kuutaka Ubunge ni kujishusha chini

Kuna aina ya maisha mtu anaishi, yanaonyesha kabisa yupo kimaslahi zaidi. Ukifuatlia mienendo ya baadhi ya watumishi watu hawa na matukio fulanifulani uka-connect dots unakuja kuona picha nyingine tofauti kabisa na yale anayoaminisha watu wake.

Muombe sana Mungu akujaalie hekima ya kutambua na kuishi maisha yako wewe kama wewe na kumtambua yule anayefaa kukuongoza.
 
Tukumbuke pia kuwa kuna msemo wa Kiingereza usemao
"It is ONLY A FOOL WHO DOES NOT CHANGE HIS MIND"
Kwa kiswahili
"NI MTU MJINGA PEKEE ambaye HUWA HABADILI MSIMAMO ama MAWAZO yake"
Unalionaje hilo Erithrocyte?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom