Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,576
- 217,940
Kwa vile ndugu Mtumishi umeamua mwenyewe kugombea Ubunge basi tuvumiliane, hizi ndio siasa zetu kaka yangu, kukumbushana ni wajibu.
kukumbushana ni wajibu wetu👏👏👏👏😁😁
Kwa vile ndugu mtumishi umeamua mwenyewe kugombea ubunge basi tuvumiliane , hizi ndio siasa zetu kaka yangu , kukumbushana ni wajibu .
Sisi wajibu wetu ni kukumbusha tuNilisema huyo anajivua nguo mwenyewe kwa kiingia kwenye siasa.
Haya sasa, atajavuliwa na taulo aliyonayo
Nouma sana, af jamaa haeleweki mara afanye uzinzi yaan taabu tupuKwa vile ndugu mtumishi umeamua mwenyewe kugombea ubunge basi tuvumiliane , hizi ndio siasa zetu kaka yangu , kukumbushana ni wajibu .
Huyu ni tapeli wa kidini wala siyo mtumishi wa MUNGU msamehe bureKwa vile ndugu mtumishi umeamua mwenyewe kugombea ubunge basi tuvumiliane, hizi ndio siasa zetu kaka yangu, kukumbushana ni wajibu.
Gwajima ni jambazi la kiroho, zee la kutafuna kondoo kavu kavuKwa vile ndugu mtumishi umeamua mwenyewe kugombea ubunge basi tuvumiliane, hizi ndio siasa zetu kaka yangu, kukumbushana ni wajibu.
Kabisa. Kikubwa pumzi.kukumbushana ni wajibu wetu
Wala hatuna shida na jambo hilo , tunahitaji kukumbushana tuMtapata tabu sana, Mtumishi wa mungu lazima aipeleke injiri bungeni,
Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Uzuri wake Hana soni hata chembe yuleNilisema huyo anajivua nguo mwenyewe kwa kiingia kwenye siasa.
Haya sasa, atajavuliwa na taulo aliyonayo
Hafai kwa ubunge, hafai kwa utumishi wa Mungu.Kwa vile ndugu mtumishi umeamua mwenyewe kugombea ubunge basi tuvumiliane, hizi ndio siasa zetu kaka yangu, kukumbushana ni wajibu.
View attachment 1496174
Anahubiri asichokiamini.. Anaamini asichokihubiriKwa vile ndugu mtumishi umeamua mwenyewe kugombea ubunge basi tuvumiliane, hizi ndio siasa zetu kaka yangu, kukumbushana ni wajibu.
View attachment 1496174