VIDEO: Gavana wa BOT akimpongeza Sabaya kufanikisha kukamatwa kwa fedha bandia

Behaviourist

JF-Expert Member
Apr 8, 2016
35,204
2,000
Sabaya kuna ubaya mwingi sana kautenda ila ana mazuri pia japo kidogo
Atandikwe viboko 7 aachwe aende zake
Vile mwendakuzimu amefurahia hii comment yako kutokea huko kuzimu😁😁😁
162869316286936.jpg
 
Tumbiliwaulaya

JF-Expert Member
Nov 22, 2020
280
500
Tazama video
Na kwa namna hii nakataa kumpa kiongozi raia madaraka ya vyombo vya ulinzi na usalama nje ya wigo wake wa kazi na mipaka ya kazi yake kinyume cha sheria kwa sababu tu wewe ni rais,
kwa hiyo special forces zilikuwepo wakati sisi tunapiga yowe la wasio julikana kumbe kuna mtu alikuwa amekaa pembeni anatucheka tu, hii katiba lazima ibadirike.
 
Kalamu1

JF-Expert Member
Jul 7, 2018
11,337
2,000
Na kwa namna hii nakataa kumpa kiongozi raia madaraka ya vyombo vya ulinzi na usalama nje ya wigo wake wa kazi na mipaka ya kazi yake kinyume cha sheria kwa sababu tu wewe ni rais,
kwa hiyo special forces zilikuwepo wakati sisi tunapiga yowe la wasio julikana kumbe kuna mtu alikuwa amekaa pembeni anatucheka tu, hii katiba lazima ibadirike.
Kabla ya kufikia huko kwenye "katiba Lazima Ibadilike", inafaa kwanza ushughulishe akili yako, na sisi sote tunaotaka iwe hivyo ni jinsi gani tutaondoa kizingiti, ambacho ni CCM, kinachopigana juu chini Katiba Isibadilike!

Hii ndiyo kazi kubwa zaidi inayotukabili sote tunaotaka mabadiliko.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom