Nucky Thompson
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 1,817
- 4,058
hii ni gari isiyopitisha risasi ilijaribiwa kwa mtu kukaa ndani kisha kuniminiwa risasi kadhaa
Fine, kwani lazima ulenge kioo? Nilitegemea the whole lot to be bullet proof! Lakini ni hatua nzuri to perfection!Du maisha haya, sasa wanyama sio issue, ila issue ni sisi kwa sisi
hii ni gari isiyopitisha risasi ilijaribiwa kwa mtu kukaa ndani kisha kuniminiwa risasi kadhaa
Ben Saanane yuko wapi?Wana cheza na uhai hawa
hii ni gari isiyopitisha risasi ilijaribiwa kwa mtu kukaa ndani kisha kuniminiwa risasi kadhaa
Mkuu kama kwenye kioo wameweza kuzuia itashindikana vp kwenye body nzimaFine, kwani lazima ulenge kioo? Nilitegemea the whole lot to be bullet proof! Lakini ni hatua nzuri to perfection!
Siyo rahisi kulenga mahali pamoja, labda gun iwe mounted kwenye stand nzito kuzuia shakingAmazing, nimeangalia kwa makini hivi mpiga risasi akirudia kulenga alipolenga risasi, je risasi haiwezi kupenya?
Your contention is subject to proof thereof!Mkuu kama kwenye kioo wameweza kuzuia itashindikana vp kwenye body nzima
Ungeongea kiswahili tu mkuuYour contention is subject to proof thereof!