Video games ambazo mpaka sasa nimeshacheza

Hivi unajua ulevi, umalaya, umbea nao unakula muda....kwahiyo wewe ukiwa unafanya huo ufuska na mm ndio muda nakuwa kwenye hobby yangu ya kucheza games

Tathimini nzuri umefanya ila ni kwamba muda wangu siutumii kwa anything you mentioned hapo juu. Yaani nakuelewa vizuri kwamba game ni hobby Ila mkuu nishasema nikiifanya hobby it will turn to addiction and sitaki kuwa game addict
 
Tathimini nzuri umefanya ila ni kwamba muda wangu siutumii kwa anything you mentioned hapo juu. Yaani nakuelewa vizuri kwamba game ni hobby Ila mkuu nishasema nikiifanya hobby it will turn to addiction and sitaki kuwa game addict
And always anything too much is harmful
 
Mi napenda game ya GTA San Andreas
Yaani mi napiga misele tu naanzisha ugonvi, naiba
I do a lot of thing just for fun

Game gani nyingine ipo free kama gta sio lazima ufuate mission
 
Mi napenda game ya GTA San Andreas
Yaani mi napiga misele tu naanzisha ugonvi, naiba
I do a lot of thing just for fun

Game gani nyingine ipo free kama gta sio lazima ufuate mission
Gta series zote....ila mpya chukua gta 5
 
Habari za jion wakuu

Yaani wakuu nimekua mpenzi sana wa video games mpaka nashindwa kuelewa mpaka sasa nimimeshacheza video game nyingi sana

Call of duty modern warfare 1,2,3,4
Call of duty blacks ops 1,2,3
Need for speed most wanted 2005,2012
Need for speed hotting pursuit 2010
Need for speed shift 1,2
Need for speed Rivals 2013
Need for speed the run 2011
Need for speed deluxe 2015
Battle of field 1 na 2
Pess 2013,2015, 2016 2017
Fifa 2014, 2016, 2017
Hit mAN
IGI
Far cry 3
Fallout 4
Euro track

Now nasubiria
Need for speed play back
FIFA 2018
PESS 2018

Hizi game utaweza kuzicheza ukiwa na processor ya Maana

Compture yangu ni HP pavilion G6 core i5
PROCESSOR 2.4
Ram 8 GB
GRAPHIC CARD AMD 1.5 GB
Haahaa hitman 1 uliiweza mm niliicheza sana hadi mwisho
 
Mwengine atasema mpaka sasa amewala mabinti wangapi
Mwengine atasema umepata pesa au mali kiasi gani kila mmoja atatoa hesabu yake
 
32f913364415d39ad1ef131cb56d31bb.jpg
Leten list ya games mpya
Assassin creed odyssey
Ghost recon break point
Mk 11 (ni fire.)
Sniper ghost warrior contract
Call of duty modern warfare (ni moto)
Shadow of tomb raider
Pes & fifa 2020

Sema hapo karibu zote bado hazijachakachuliwa ngoja tuendelee kusikilizia.
 
Back
Top Bottom