Video: Freeman Mbowe ni miongoni mwa watu wachache wenye akili kubwa ambao Tanzania imebarikiwa kuwa nao , Asante Mungu kwa zawadi hii

Kifo cha Maalim Seif na Kijazi ndiyo kinakutisha sana? Vifo vingapi vimetokea kabla yao vimepita kimya kimya?

Corona ipo, lkn maisha yaendelee hivi hivi. Sasa unataka tufanye nn ili hali suluhisho la korona hakuna dunia nzima?
Hivi ukifa wewe mlalahoi mmoja utalitia hasara kiasi gani taifa?Vp tukimpoteza jemedari mkuu unafikiri kurudia uchaguzi ni hasara kiasi gani kwa taifa?

Hawa akina kijazi ni tahadhari tosha kwa serikali kwamba waache kuwahadaa watanzania,waseme wazi na waombe radhi kwakuita corona nimonia kali matokeo yake watu wanachukulia poa wanapoteza maisha.

Ok,hifadhi vizuri hizi kauli zako,hatuombi mabaya ila kwa hii corona ya sasa na mwenendo mbovu wa serikali dhidi ya corona,hawa top layers watanyooka na watakao salia itawalazimu wauseme ukweli kwamba corona ipo nchini na hatujawahi kuwa na ugonjwa unaitwa nimonia kali.
 
Back
Top Bottom