Video: Freeman Mbowe apokelewa kwa kishindo Shinyanga. Shangwe na vigelegele vyarindima

Huu utapeli na wizi wa Mbowe ataacha lini yaani amtukane shujaaa wa Watanzania na ambaye ni msukuma ili yy mchaga apate umaarufu ukweli ni kwamba sisi wasukuma hatutaki wachaga matapeli kama Mbowe tutamalizana naye asituchezee huyu nyoka wa makengeza
Utakuwa umekula maharage wew c bure
 
Niliwadharau sana toka Mwendazake awa abuse na nyie mkaogopa hata kuingia barabarani kudai haki zenu. Ni chama cha waoga na maneno mengi. TL alichezea njugu nyie mkaishia online kupiga mikelele.. hamna chama hapo wala makamanda. Haki itadaiwa na wananchi wenye siyo Chadema wala CCM.
 
29 May 2021
Shinyanga, Tanzania

MOTO WAWAKA KANDA YA SERENGETI JIMBO LA SHINYANGA MJINI


 
CHADEMA YAGUSIA SUALA LA KATIBA, YASEMA KATIBA NDIYO MSINGI WA YOTE IWE SIASA AU KUMILIKI ARDHI AU KUUZA MAZAO N.K

 
Back
Top Bottom