Video: Freeman Mbowe ahimiza ujenzi wa ofisi za CHADEMA nchi nzima

Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
121,903
95,182
Mwenyekiti wa cdm amezidi kutikisa nchi akiwa anasimamia kufungua matawi na kuhimiza ujenzi wa ofisi za chama nchi mzima.

Hapa chini ni video akionekana kupokelewa kwa vifijo na bashasha na wananchi wenye mapenzi mema na nchi yao.
 
Inapendeza sana, ingekua enzi za mzee baba, hapo defender kama zote, vuruga mtindo mmoja...
 
Kipindi anakula ruzuku kubwa aliwahadaa kuwa chama cha siasa ni imani sasa hivi ruzuku imepungua anaangalia namna ya kuwapiga. Ama kweli wajinga ndio waliwao
Mwenyekiti wa cdm amezidi kutikisa nchi akiwa anasimamia kufungua matawi na kuhimiza ujenzi wa ofisi za chama nchi mzima.

Hapa chini ni video akionekana kupokelewa kwa vifijo na bashasha na wananchi wenye mapenzi mema na nchi yao.View attachment 1801733
 
Maccm YAMENUNA! 😂😂
Nyie Mna Miaka 20 hata Ofisi za Makao Makuu kutunzia Nyaraka zenu hamna...

ndio Mnajikongoja Kusema Mjenge ofisi za Chama Ukiangalia Hizo ofisi zenyewe ni Kama Nyumba tu za Kuishi wala hazina hata Ukumbi wa Mikutano...Sasa Jiangalieni Kwanza kabla ya Kusema CCM wananuna...
 
Acha ujinga! Maccm yana ofisi nzuri imeleta nini cha maana kwa Watanzania? Miaka 60 madarakani na nchi bado Ina wanyonge sera za kuwaondoa wanyonge zimesaidia nini? Wizi na ufisadi mwanzo mwisho ukiondoa Nyerere tu.

Nyie Mna Miaka 20 hata Ofisi za Makao Makuu kutunzia Nyaraka zenu hamna...

ndio Mnajikongoja Kusema Mjenge ofisi za Chama Ukiangalia Hizo ofisi zenyewe ni Kama Nyumba tu za Kuishi wala hazina hata Ukumbi wa Mikutano...Sasa Jiangalieni Kwanza kabla ya Kusema CCM wananuna...
 
Mwenyekiti wa cdm amezidi kutikisa nchi akiwa anasimamia kufungua matawi na kuhimiza ujenzi wa ofisi za chama nchi mzima.
Mbona hajatafuta hata kiwanja tu cha kujenga ofisi ya makao makuu ya chama? Anatembea huku mikoani ili ajilipe posho, hiyo pesa si angewekeza kwenye ujenzi wa ofisi ya makao makuu!
 
Jamaa anajua kubuni vyanzo vya mapato.
Hapo kuna mambo mawili,
Kwanza.
Cdm ilitegemea ruzuku ndio source pekee ya mapato yakutegemewa,sasa DJ kabuni hii source nyingine chama kipate angalau hela ya kununua karamu.

Pili.
Funds donners kutoka ulaya na marekani wako tiyari kuwekeza kwenye chama ila shariti lao ni moja tu,chama lazima kiwe na mradi ambao wanachama wanashiriki kuutekeleza kwa hatua ya awali,progress ikiwa nzuri watamwaga mapesa chamani na DJ ndio signatory wa kila kitu
 
Atuthibitishie kwanza ameshakubaliana na wana ccm kutochoma moto ofisi zetu za chadema? Kama hajaongea na greengurd na kukubaliana ni kazi bure kujenga hizo ofisi, ni bora kuendelea kupanga hadi tutakaposhika Dora hata kama miaka 100 mbele kuliko kujenga ofisi za chama, je wakitokea vichaa wengine kama akina Sabaya huko mbeleni
 
Back
Top Bottom