VIDEO: Former Prime Minister Burundi akipewa kichapo na askari wa Rais Nkurunzinza

babukijana

JF-Expert Member
Jul 21, 2009
12,900
15,655
[ame]http://www.youtube.com/watch?v=2Uw8fcL8ZJM[/ame]
play no 8 na 9 kwenye related video ujionee.
mambo haya natamani yangekuwepo bongo maana mafisadi wangekoma na nchi ingenyooka maana mtu mzima kala viboko mpaka analia.
 
its another expression ya namna tunavyoapproach vitu manually!!!
 
True mkuu. That is not acceptable kabisaa. Kwa nini umnyanyase mtu like that si kuna sheria bana.... yaani mtu kama Lowasa vile unampa kichapo hivyo! Generally brutality ya namna hiyo hapana bwana....
 
Thanx, I have really enjoyed it. A lot to be learnt through all these. Bongo yanafanyika isipokuwa sio nje kwenye mwanga wa jua.
nop,not for our former prime ministers bwana bongo at least tuna respect kidogo,na hao ni askari wahutu,huyo FPM ni mtusi ndo maana jamaa wanamfanyia ukatili huo,huu ukabila kwa hawa ndugu zetu sijui kama utaisha inatisha sana.
 
True mkuu. That is not acceptable kabisaa. Kwa nini umnyanyase mtu like that si kuna sheria bana.... yaani mtu kama Lowasa vile unampa kichapo hivyo! Generally brutality ya namna hiyo hapana bwana....

I agree with you kabisa

Matendo kama haya yanayokosa utashi ndiyo huchangia tuishi kama wanyama... tunapoteza utu na kukaribia utumbili!!! Kuna namna kabisa ya kushughulikia wahalifu hasa wa namna ya huyo waziri hadi akachoka kabisa

ila kwa kumpiga ni kuonyesha udhaifu kwenye thinking na kibaya zaidi mkosaji huona wanaompiga kama hooligans tu wenye shida za maisha

taking example ya lowassa.... kama mtu anataka kumweka sawa basi amfilisi tu maana mzee anapenda pesa, huna haja ya kumpiga kuonyesha kwamba uko kwenye mamlaka
 
inaonekana kama jamaa walikua na kisasi nae fulani kuna from part 1 wanamfanyia investigation unaweza kuangalia ukiwa na muda.
 
yeah mkuu... ila usiombe aisee... mzee zina kuwekwa chini vile halafu pekupeku na ukikumbuka ma-STK yalikua yanakutembeza mjini....

ni ngumu sana mazee
 
ndio maana mwishomwisho mzee alimwaga chozi mpaka utamuonea huruma,maana naona alikumbuka maSTK enzi zake na kajiupepo ka oysterbay enzi zake halafu anatandikwa kama kibaka inauma asikwambie mtu na sijui alifanya nini wanaojua kirundi watujulishe kama wapo.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom