Video: Euripean opinion on Covid-19 ground reality in Tz, What do Tanzanians think about Covid-19

game over

JF-Expert Member
Jan 1, 2016
7,808
2,000
comments from Europeans
Screenshot_20210304-203714_YouTube.jpg
Screenshot_20210304-203653_YouTube.jpg
 
pingli-nywee

JF-Expert Member
Sep 16, 2015
11,362
2,000
Utumwa utawatafuna waafrika hadi lini?Inatamausha sana kuona wenzetu wenye ngozi nyeusi wakijipiga vifua na kujiona keki, kisa vijimaneno na vijisifa kutoka kwa hawa ngozi nyeupe, almaarufu 'mabeberu', tena mitandaoni. Hivi majirani hamjiaminii na misimamo, kauli na sayansi yenu ya kiafrika na ya kipekee? Ile ya kuchanganya imani zenye asili ya dini za kuazimwa na hao hao mabeberu/waarabu pamoja na tiba za kitamaduni(maombi, kupiga nyungu mara kikombe cha babu). Hadi mwatizame wazungu, mkingoja kwa hamu wawasifie?Wazungu ambao labda ni mambumbumbu zaidi yenu na sio wataalamu ambao mnaweza mkabishana nao kitaalamu zaidi? Hoja kwa hoja, sayansi yao vs. sayansi yenu hewa hadi kieleweke? Hamna namna, muombeni msamaha aliyewaroga nyie majirani, bora yaishe, imekuwa too much sasa.
 
mkorinto

JF-Expert Member
Jun 11, 2014
23,318

mzungu anaye comment kwenye hizi video yuko karibu na mwanasayansi wa kizungu kuliko wewe kilaza.usiyejua hata kipi kinaendelea maabara kuhusu corona.

ukiona mzungu anajipa shughuli ya tanzania,ujue ya nchi yake kayajua yametosha.

kachanjwe upewe cheti.usijenyimwa kwenda ulaya.
 
Utumwa utawaua jamani, hamna wanasayansi wenu wazawa ambao wanaweza wakaibuka na vitu vinavyoeleweka? Kupitia tafiti zinazoambatana na taaluma yao? Au unataka kusema kwamba maarifa na utaalamu wa kisayansi huwa yanaendana na weupe wa ngozi? Mbona hao Wazungu na wanasayansi wao unaowaaminia sana zaidi ya wale weusi wana misimamo tofauti na yenu ila huringi kuhusu hilo?Kando na haya maoni ya kiboya ya hawa wazungu mbumbumbu mitandaoni. Hebu nitajie mwanasayansi mmoja, awe mzungu au mweusi, au shirika lolote lile la kisayansi na utafiti ambao wameunga mkono hivyo vioja vyenu.
 
game over

JF-Expert Member
Jan 1, 2016
7,808
2,000
Utumwa utawatafuna waafrika hadi lini?Inatamausha sana kuona wenzetu wenye ngozi nyeusi wakijipiga vifua na kujiona keki, kisa vijimaneno na vijisifa kutoka kwa hawa ngozi nyeupe, almaarufu 'mabeberu', tena mitandaoni. Hivi majirani hamjiaminii na misimamo, kauli na sayansi yenu ya kiafrika na ya kipekee? Ile ya kuchanganya imani zenye asili ya dini za kuazimwa na hao hao mabeberu/waarabu pamoja na tiba za kitamaduni(maombi, kupiga nyungu mara kikombe cha babu). Hadi mwatizame wazungu, mkingoja kwa hamu wawasifie?Wazungu ambao labda ni mambumbumbu zaidi yenu na sio wataalamu ambao mnaweza mkabishana nao kitaalamu zaidi? Hoja kwa hoja, sayansi yao vs. sayansi yenu hewa hadi kieleweke? Hamna namna, muombeni msamaha aliyewaroga nyie majirani, bora yaishe, imekuwa too much sasa.
So what is the reality in kenya, are Kenyans observing Covid-19 precautions?
 
magu2016

JF-Expert Member
Oct 8, 2017
6,225

Tunajiamini sana sisi watz siyo kama nyinyi wakenya wafuata upepo.
 
magu2016

JF-Expert Member
Oct 8, 2017
6,225
2,000
Utumwa utawaua jamani, hamna wanasayansi wenu wazawa ambao wanaweza wakaibuka na vitu vinavyoeleweka? Kupitia tafiti zinazoambatana na taaluma yao? Au unataka kusema kwamba maarifa na utaalamu wa kisayansi huwa yanaendana na weupe wa ngozi? Mbona hao Wazungu na wanasayansi wao unaowaaminia sana zaidi ya wale weusi wana misimamo tofauti na yenu ila huringi kuhusu hilo?Kando na haya maoni ya kiboya ya hawa wazungu mbumbumbu mitandaoni. Hebu nitajie mwanasayansi mmoja, awe mzungu au mweusi, au shirika lolote lile la kisayansi na utafiti ambao wameunga mkono hivyo vioja vyenu.
Unasubiri waunge mkono wazungu! Umesoma ripoti ya Madaktari wenu wa RC wamesemaje kuhusu covid
 
Relief Mirzska

JF-Expert Member
Jun 13, 2017
12,174
2,000
Utumwa utawatafuna waafrika hadi lini?Inatamausha sana kuona wenzetu wenye ngozi nyeusi wakijipiga vifua na kujiona keki, kisa vijimaneno na vijisifa kutoka kwa hawa ngozi nyeupe, almaarufu 'mabeberu', tena mitandaoni. Hivi majirani hamjiaminii na misimamo, kauli na sayansi yenu ya kiafrika na ya kipekee? Ile ya kuchanganya imani zenye asili ya dini za kuazimwa na hao hao mabeberu/waarabu pamoja na tiba za kitamaduni(maombi, kupiga nyungu mara kikombe cha babu). Hadi mwatizame wazungu, mkingoja kwa hamu wawasifie?Wazungu ambao labda ni mambumbumbu zaidi yenu na sio wataalamu ambao mnaweza mkabishana nao kitaalamu zaidi? Hoja kwa hoja, sayansi yao vs. sayansi yenu hewa hadi kieleweke? Hamna namna, muombeni msamaha aliyewaroga nyie majirani, bora yaishe, imekuwa too much sasa.
Nyinyi wehu sana nyinyi.

Hivi kwanza ushachanjwa huko???
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom