Video: Duh, kwa mtindo huu Afrika Mashariki ipo hatarini kubinafsishwa na madikteta uchwara!

Mag3

Platinum Member
May 31, 2008
13,064
22,756

Huwezi kuamini huyu muongeaji aliwahi kujiita mpigania uhuru akiitaka Tanzania iwasaidie Waganda kumtoa dikteta nduli Iddi Amin Dada. Kwa kasi ya idadi ya hivi ving'ang'anizi inavyoongezeka hapa Afrika Mashariki, je sisi Watanzania tujifunze nini?
 
Back
Top Bottom