VIDEO; Dr. Slaa atoa somo kwa wananchi wa Mavimba, Ulanga | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

VIDEO; Dr. Slaa atoa somo kwa wananchi wa Mavimba, Ulanga

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kiganyi, Aug 14, 2012.

 1. Kiganyi

  Kiganyi JF-Expert Member

  #1
  Aug 14, 2012
  Joined: Apr 30, 2012
  Messages: 1,244
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Operesheni Sangara inayoongozwa na CHADEMA imeingia Ulanga ambapo hoja kuu katika Mikutano ya Operesheni hizo imekuwa ni kuwahamasisha Wananchi kushiriki Mchakato wa Mabadiliko ya Katiba kwa kuhakikisha kuwa swala la umiliki wa ardhi kwa Wananchi linapewa kipaumbele pamoja na kushiriki zoezi la kujiandikisha kupata vitambulisho vya Taifa.

  Source: wavuti - wavuti

  [video=youtube_share;N2bhwnMPAf8]http://youtu.be/N2bhwnMPAf8[/video]
   
 2. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #2
  Aug 14, 2012
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,817
  Likes Received: 10,107
  Trophy Points: 280
  Mie bado niko usingizini mwaya
   
 3. p

  politiki JF-Expert Member

  #3
  Aug 14, 2012
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 2,356
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  Slaa anafanya kazi ambayo wapinzani kwa ujumla ilibidi waifanye miaka 20 iliyopita kui expose ccm maeneo ya vijijini kwa sababu watu wengi sana wa vijijini hawaijui CCM vizuri wanajua tu upande mmoja wa shillingi lakini upande wa pili wa shillingi kuhusu CCM hawaufahamu hongera sana slaa na M4C kwa kuwaelezea wananchi vijijini upande wa pili wa CCM.
   
 4. P

  PLAN B Member

  #4
  Aug 14, 2012
  Joined: Aug 1, 2012
  Messages: 30
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Asante sana DR SLAA lazma kitaeleweka 2015 we ndo RAIS wetu
   
 5. C

  Chikwakara Senior Member

  #5
  Aug 14, 2012
  Joined: Apr 4, 2012
  Messages: 100
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0

  Alafu hicho kibwana mdogo eti Zitto kinataka urais!!! mzee wetu anajenga chama kijana anazurura kujitangazia eti anataka kuwa rais. Wala rushwa wengine bana si awe km Rostam tu
   
Loading...