VIDEO: DANGOTE

Ni upepo unaovuma,utatulia.yote hii inaimarisha dangote.maono yangu kitakua kiwanda kikubwa sana kwa ukanda wa afrika mashariki na kati.acha siasa zipite niwakati wake
 
Wakati huo huo waziri anajitokeza na kuongea mambo yasoeleweka
 
Kiukweli inauma sana, hii inchi bila kutiana adabu kama Somalia kila siku itakua movie kama hizi zinaendela
 
Ninauhakika kama dangote akiondoka ndio chanzo cha tanzania ya - Viwanda.
Huyu jamaa ni Role model hadi kwa wazungu na wachina. Kama dangote ndugu yetu akikimbia unadhani nani atatuamini. Labda kama viwanda viwe ni vya miaka mitano mitano
 
Back
Top Bottom