Video Clip zote za tambo za Makonda wekeni hapa ili iwe kumbukumbu kwa wenye tabia kama hii

mgt software

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
13,767
7,115
WanaJF

Katika kuweka kumbu kumbu sawa watu wote wenye video za majigambo na tambo, hata screen short za Twitter, Insta ili iwe funzo kwa watoto wetu kama sehemu ya history kwa vijana wenye tamaa waliozaliwa 1982.
 
Wasifute ziendelee kuwepo watubwajionee wanavyo dhalilisha wataalum. Jeuri na kiburi ukiwa na uongozi ili waangalie kama inafaa kuwa vile ama vipi. ie
Je, akipata shavu tena tufute video?

Usimwombee mwenzio njaa.

Japo nakubali jamaa vyeo alivyokuwa navyo vilikuwa vinampwerepeta.
 
wana jf

Katika kuweka kumbu kumbu sawa watu wote wenye video za majigambo na tambo, hata screen short za Twitter, insta ili iwe funzo kwa watoto wetu kama sehemu ya history kwa vijana wenye tamaa waliozaliwa 1982.
anza wewe angalau hata tatu
 
shauri yenu

mtasababisha Baba amwinue juu tena

acha wafu wazikane wenyewe
Kule twitter amesema kuwa yeye hafanyi mambo kwa kukurupuka. Anajua anachofanya ana atarudi mara moja kwa nguvu hata kuliko ya zamani! Nitaiweka nikiweza
 
Makonda alipokuwa DC wakati wa JK
Aliiandaa kindondoni talent Search nakumbuka...

Pale ndo nilimuona 'hamna kitu'..
But still kuna vitu alikuja kufanya vilikuwa na manufaa na vingine vingetimia vingekuwa na faida kubwa..

Binafsi simchukii na wala simchukulii serious
 
Kule twitter amesema kuwa yeye hafanyi mambo kwa kukurupuka. Anajua anachofanya ana atarudi mara moja kwa nguvu hata kuliko ya zamani! Nitaiweka nikiweza
Tanzania thamani ya msambwanda ni kubwa kuliko degree zote.
 
Nakazia tunzeni kumbukumbu,,, sio hadi afariki ndio muanze kuzileta...

Mambo haya bhana ya vyeo...
Wale wote aliowafanyia upuuzi wamekuwa mabosi wake
 
Makonda alipokuwa DC wakati wa JK
Aliiandaa kindondoni talent Search nakumbuka...

Pale ndo nilimuona 'hamna kitu'..
But still kuna vitu alikuja kufanya vilikuwa na manufaa na vingine vingetimia vingekuwa na faida kubwa..

Binafsi simchukii na wala simchukulii serious
Na hutakiwi kumchukia ila unatakiwa kuwa honest kuhusu utendeji wake ulivyokuwa. Wote tunaondika negative kuhusu yeye hatumchukii ila tunaona hafai uongozi. Alilewa madaraka to the maximum na mengi aliyokuwa anafanya ni ''maigizo'' ambayo Magufuli yalikuwa yanamvutia sana. Alikuwa amethubu kusimama mbele ya kadamnasi na kusema katika watu wanaokula raha duniani yeye ni namba moja. Anyways yule siyo kiongozi hata kidogo
 
Jamaa nilijuaga ni mtoto wa Magufuli mwanzoni alitupa taabu sana.
 
Na hutakiwi kumchukia ila unatakiwa kuwa honest kuhusu utendeji wake ulivyokuwa. Wote tunaondika negative kuhusu yeye hatumchukii ila tunaona hafai uongozi. Alilewa madaraka to the maximum na mengi aliyokuwa anafanya ni ''maigizo'' ambayo Magufuli yalikuwa yanamvutia sana. Alikuwa amethubu kusimama mbele ya kadamnasi na kusema katika watu wanaokula raha duniani yeye ni namba moja. Anyways yule siyo kiongozi hata kidogo
Hata wale nyumbu wanaowaita akina mdee covid19 ipo siku watajuta sana
 
Hata wale nyumbu wanaowaita akina mdee covid19 ipo siku watajuta sana
Ni kweli
FB_IMG_16197898333560871.jpg
 
Back
Top Bottom