Chama cha mambuzi hakiwezi kuwa strong namna hii kingeshaliwa na mbwa mwitu. Huyo jamaa amekosea tu kutokana na kutokuwa mzungumzaji wa kiswahili
 
Chama cha mambuzi hakiwezi kuwa strong namna hii kingeshaliwa na mbwa mwitu. Huyo jamaa amekosea tu kutokana na kutokuwa mzungumzaji wa kiswahili
Mbona Kiko legelege na ushindi wake kila mtu anakuwa ni wizi kwa usimamizi wa polisi na kuvamia wapinzani njiani wanapojuwa wanarudisha form. Mfano ni Devota Minja aliyetekwa na police waliotumwa na Abood morogoro.
Hiki ni chama Cha mambunzi mkuu
 
Back
Top Bottom