Patriot
JF-Expert Member
- Feb 11, 2008
- 5,698
- 4,693
We kabila gani? Chako kinazunguka kweli? Wengi mdomoni tu! Akijiweka chini, Hoi!Ni mchaga
We kabila gani? Chako kinazunguka kweli? Wengi mdomoni tu! Akijiweka chini, Hoi!Ni mchaga
Sawa sawa white.Ulitembea kumbe? Ngoja nikucheck
Ko mkuu hakuna Mungu et, tumeshikishwa masikio 😁😁😁😁 Hoja yako inafikirisha sanaMkuu
Dini zimejengwa na hao hao imperfect wanadamu...
Zinaongozwa na hao hao imperfect wanadamu...
Then ni stupendously moronically wrong kusema eti unaweza pata PERFECT system kutoka kwa IMPERFECT people who made and run it...
The system is wrong,the people who made them and who run them put together are all wrong and imperfect!
Plus,The God you are making a system for is impefect and even do not exist at all!
Kuna Video zinasambaa zinazodaiwa ni za Askofu mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima
Hakuna binadamu aliyekamilika. Watu wengi wanafikiria kuwa mtu akiwa mtumishi wa Mungu au akiwa na vyeo vyovyote vya utakatifu basi hufikiri mtu huyo hatendi dhambi kama binadamu wengine, lakini ukweli ni kwamba wengi wao huwa na madhambi ya kutisha zaidi pengine kuliko hata wapagani ambao hawamjui Mungu , vitabu vitakatifu vinatufundisha kuwa tusijaji tusije tukahukumiwa.
Hao Hao wanaojiita wachungaji na watumishi , wengi wao wanafanya dhambi za kutisha.
Ukiacha nguvu za Giza anazotumiwa kushiriki Mchungaji gwajima, Leo kakwaa skendo nzito ya kufanya mapenzi na kujitecord akiwa kitandani akifanya uzinzi na mwanamke asiyejulikana.
Kweli Mungu wa makonda anajibu kwa wakati, huyu baba alijua kumtukana na kumdhihaki makonda, Leo uchafu wake wote uko nje, sijui ataweka wapi sura yake .
Ikumbukwe juzi juzi tu walipatana na makonda na kukumbatiana, ama kweli dunia hadaa na walimwengu shujaaView attachment 1090460
uzi wako umeruka vizuri ila umetua vibaya mungu gani anajibu maombi ya watu waliofoji cheti
Ni kweli,Na pia huwa nawashangaa viumbe wanaosema sijui Fulani ni chaguo la Mungu,,,huwa nawaona maboya tu maana kila mwanadamu ni chaguo la Mungu ndio maana akapewa uhai!!!!Namna utakavyoitumia pumzi uliyopewa ndio hapoNaomba iwe ni utani. Ni aibu mtu wa JF kuamini kwamba Gwajima atampeleka Mbinguni. Yaani bado kuna watu wanaamini kuna dalali wa kuwapeleka Mbinguni! Mbinguni njia ni nyeupe kwa kila mtu. Watu kama hawa mukiendelea kuwachekea na kusema amen, wataanza kuwalawiti kabla hamjafika Mbinguni.
Wewe una ushahidi gani kama ni aunthetic?Iliwahi kutengenezwa audio ya Mbowe na Wema,wajinga kama wewe mkakimbilia kuamini!!!!Watengenezaji wakaumbuka walivyoitengeneza !So kuwa na akiba maneno!Hao pimbi wanaoshangilia hapo hawajui kama hiyo ni team work,wote wapo kazini.Gwajima amemuuliza mwanamke wewe unaonaje? miradi yetu isimame kwa sababu ya kivideo ambacho kimeeditiwa huko?siyo mimi,kweli mama nanii siyo mimi akajiapiza apiza uwongo na kweli na kwa sababu anajua mwanamke hana analolijua kuhusu technology jamaa akamwachia mtihani aamue.
Ukichukulia mwanamke mwenyewe anaonekana njaa kali bila nguzo yake Gwajima mambo town hayataenda akaona akubali kukaa upande wa mumewe.
Delusional. Good day madamAngalia vitu bila kuwa biased,utafurahia maisha..my dear...uko sahihi usichezee technology,expert in technology can make things believable...na kama huangalii vitu kwa open mind lazima u fall kwenye mitego ya shetani,,, this is shetani at work! Nothing else!
Do you have any evidence that it's not authentic?Only the naive ones wiĺl believe that the video is authentic
Delusional. Good day madam
Kwani mzee alikua na watoto wangapiPicha!!! uzushi wa kututoa kwenye msiba wa Daddy
Msiba msiba. Kwani yy ndio wa kwanza kufa. Kajambe mbele huko. Na upumbavu wakoPmbvu sina muda na mambo ya kipmbvu kama haya ya kushabikia upumbavu .haswa kwenye msiba mkubwa wa kitaifa kama huu wa mzee wangu Mengi.
Picha!!! uzushi wa kututoa kwenye msiba wa Daddy
Una safari bado ya kujifunza.Maneno yako ni sehemu ya matendo yako.
Hutokea baada ya kitendo cha kunena