Video chafu ya Baba Askofu Josephat Gwajima Yavuja...

Status
Not open for further replies.
Kuna Video zinasambaa zinazodaiwa ni za Askofu mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima

Hakuna binadamu aliyekamilika. Watu wengi wanafikiria kuwa mtu akiwa mtumishi wa Mungu au akiwa na vyeo vyovyote vya utakatifu basi hufikiri mtu huyo hatendi dhambi kama binadamu wengine, lakini ukweli ni kwamba wengi wao huwa na madhambi ya kutisha zaidi pengine kuliko hata wapagani ambao hawamjui Mungu , vitabu vitakatifu vinatufundisha kuwa tusijaji tusije tukahukumiwa.

Hao Hao wanaojiita wachungaji na watumishi , wengi wao wanafanya dhambi za kutisha.

Ukiacha nguvu za Giza anazotumiwa kushiriki Mchungaji gwajima, Leo kakwaa skendo nzito ya kufanya mapenzi na kujitecord akiwa kitandani akifanya uzinzi na mwanamke asiyejulikana.


Kweli Mungu wa makonda anajibu kwa wakati, huyu baba alijua kumtukana na kumdhihaki makonda, Leo uchafu wake wote uko nje, sijui ataweka wapi sura yake .

Ikumbukwe juzi juzi tu walipatana na makonda na kukumbatiana, ama kweli dunia hadaa na walimwengu shujaaView attachment 1090460

Zaidi, soma;


huyo demu amelala kama gogo, hata kiuno hakizunguki
 
moja; ni kiongozi wa dini

mbili;ni mtu mzima sio kijana wa dot com

tatu;;ni mume wa mtu

nne;baba wa watoto/familia...

hili 'profile' sio la mtu wa 'kujirecord' wakati 'akichepuka'!

I stand with Gwajima on this...

Kama nakuelewa issue ni kurekodi na sio kuchepuka japo hii sio video ya kwanza ya watu wenye profile.

Genuinely fascinated.
 
moja; ni kiongozi wa dini
.
Hebu soma tena hapa chini uone kama hoja yako inabaki salama....

moja; ni kiongozi wa dini [anayefundisha kwa vitendo waumini wake namna ya kudumisha ndoa].

mbili;ni mtu mzima sio kijana wa dot com

tatu;;ni mume wa mtu

nne;baba wa watoto/familia...

hili 'profile' sio la mtu wa 'kujirecord' wakati 'akichepuka'!

I stand with Gwajima on this...
 
...............Usijisahaulishe kwamba kuna tabia ambazo mtu anakuwa nazo na za kipekee ambazo kitaalam zinakuwa maradhi ya akili na wakati akizitenda hizi tabia yeye hujiona perfect ila ni mapungufu makubwa.kufanya mapenzi na watoto wadogo,unajisi kwa watoto wadogo wengine huwa wanapenda tu kumuona mwanamke amevua nguo etc hizi ni tabia walizo nazo watu tunaokaa nao humu humu kwenye jamii na ambao baadhi yao wamekupa maarifa mengi ila mapungufu yao ni hayo.

Gwajima anaangukia ktk kundi hili,wewe unachokiona hawezi kukifanya yeye anakifanya na anakifurahia video nimeiona yule ni Gwajima na aliji-record mwenyewe na kusema imefikaje humu ulimwengu wa technology umesogea sana kuna mtu akitaka picha zako ulizoficha kwenye smartphone yako hata kama umeweka patterns na password kwa wakati mmoja anazichukua kama kuku wa mdondo.

Mnhhh kwa hio wewe ni Psychiatrist tayari usha mdiagnose Gwajima ana matatizo ya Akili hahaaaa...mnhhh
 
SEEING IS BELIEVING. Chezea vyote lakini sio technology au Mungu. Au atakuwa pacha wake yule?

Angalia vitu bila kuwa biased,utafurahia maisha..my dear...uko sahihi usichezee technology,expert in technology can make things believable...na kama huangalii vitu kwa open mind lazima u fall kwenye mitego ya shetani,,, this is shetani at work! Nothing else!
 
Angalia vitu bila kuwa biased,utafurahia maisha..my dear...uko sahihi usichezee technology,expert in technology can make things believable...na kama huangalii vitu kwa open mind lazima u fall kwenye mitego ya shetani,,, this is shetani at work! Nothing else!
Acheni kumsingizia shetan ata yeye huwa hapendi bhana alaa kila kitu shetani mengine mnajitakia kabisa
 
It’s just matter of time,,yes,,wait,,,,Mungu atajihidhirisha ukuu wake,,,,,,soon!...kama huamini soon utaamini....na hii post naiweka kama ushahidi! Najua bwana atatenda !
Naomba iwe ni utani. Ni aibu mtu wa JF kuamini kwamba Gwajima atampeleka Mbinguni. Yaani bado kuna watu wanaamini kuna dalali wa kuwapeleka Mbinguni! Mbinguni njia ni nyeupe kwa kila mtu. Watu kama hawa mukiendelea kuwachekea na kusema amen, wataanza kuwalawiti kabla hamjafika Mbinguni.
 
Kwanini video za Amber Rutty na Mariam Biriani hazikuleta hoja ndefu kama hizi?

Yule ni binadamu kuwa baba, mchungaji au padre haiondoi ubinadamu wako wala uhalisia wa akili zako.

Usitumie nguvu kubwa kutaka kugeuza ukweli.


Hahaaa nani anatumia nguvu kubwa kutaka kupindisha ukweli??? Ili iweje?? I’m using my right to air what I believe...

Jifunze kuangalia mlilongo wa matukio ama profiling before arriving into conclusions...huyo mdada Rutty unayemsemea moja ni mdada wa dot com,mbili alikua anafanya hivyo vitu at a fee,Haya angalia Gwajima, na yeye alikua anajirecord kabla ya hii video au kujiuza online?
 
Hahaaa nani anatumia nguvu kubwa kutaka kupindisha ukweli??? Ili iweje?? I’m using my right to air what I believe...

Jifunze kuangalia mlilongo wa matukio ama profiling before arriving into conclusions...huyo mdada unayemsemea moja ni mdada wa dot com,mbili alikua anafanya hivyo vitu at a fee,Haya angalia Gwajima, na yeye alikua anajirecord kabla ya hii video au kujiuza online?
Sasa ile mishipa iliyokuwa imekutoka kutetea ile video kuwa siyo yeye imeenda wapi?

Nikipata mke mwenye akili nzito kama wewe nitalala hadi na mama yake.
 
Hawa evangelicals wengi wasanii.

Kuna Evangelical anamzidi Jimmy Swaggart?- ilibumbuluka kuwa anatembea na malaya, akatubu na kulia mbele ya Madhabahu, miezi michache baadae akakutwa na Mwanamke ndani ya gari, akaulizwa mtumishi kulikoni?, akaijibu akawaambia "This is none of your business!"

Evangelical mwingine maaarufu sana aitwaye Shorrosh- alikamatwa na mamlaka huko Marekani kwa kutaka kuzitia moto nyumba zake mwenyewe ili adai Insurance!
Tunaopata taabu ni sisi tulio nje ya mamlaka ya Gwajima. Kuna watu walioko ndani hawajitambui. Anaweza akawalawiti mmoja kila baada ya wiki na bado watasema; Amen! Inabidi serikali itafute mbinu ya kuzuiya upuuzi kama huu usiendelee. Si umesikia anajieleza kama mwizi wa kuku na bado watu wanashangilia?
 
Body language ya mke wa Gwajima inaonesha kabisa ndani ya nyumba kuna fukuto!
Hao pimbi wanaoshangilia hapo hawajui kama hiyo ni team work,wote wapo kazini.Gwajima amemuuliza mwanamke wewe unaonaje? miradi yetu isimame kwa sababu ya kivideo ambacho kimeeditiwa huko?siyo mimi,kweli mama nanii siyo mimi akajiapiza apiza uwongo na kweli na kwa sababu anajua mwanamke hana analolijua kuhusu technology jamaa akamwachia mtihani aamue.

Ukichukulia mwanamke mwenyewe anaonekana njaa kali bila nguzo yake Gwajima mambo town hayataenda akaona akubali kukaa upande wa mumewe.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom