Video chafu ya Baba Askofu Josephat Gwajima Yavuja...

Status
Not open for further replies.
Leo hii kuna video ya ngono ina-trendi, ajabu mitandao iliyo mingi imejielekeza kuijadili video hiyo, na kuacha mambo ya msingi. Kama vile kujadili hatima ya Mdude. Lakini pia tukio muhimu la kuagwa kwa mwili wa R. Mengi, mtu muhimu kwa uchumi Wa tz. Tulipaswa tuibue hoja kwa namna gani mwenzetu Mengi aliweza kufanikiwa kiuchumi kwa kiasi hicho.
Lakini tumejita kuijadili video ambayo kimsingi haina tija yoyote kwa maendeleo yetu na Taifa letu.
Hata hivyo Mimi naamini hiyo video ni fake, imeandaliwa na wajanja kwa maslahi yao. Na ni kweli wamefanikiwa, si watu tumeacha kupaza sauti kwa ajili ya Mdude tumejikita kujadili mepesi yasiyo na tija.
Jambo la Msingi ni kubadilika, tujitahidi kusumbua vichwa vyetu kufikiri na kufanya mambo mazito yatakayoacha alama ya maendeleo kwa taifa letu.
 
Hii nchi ili vijana wapige kazi, Instagram, Facebook na WhatsApp zifungiwe.
 
KUHUSU PURPOTEDLY "VIDEO CHAFU" YA GWAJIMA

Kuna video inasambaa kwenye mitandao ya kijamii ambayo watu wanasema ni ya Gwajima. Nilikuwa ofisini leo, rafiki yangu akaja na kusema, "Umeona Gwajima alichofanya?"

Nimeiangalia ile video lkn kwa sekunde chache tu nimegundua kuwa ni "fake video." So nikabidi nimpe soma yule kijana ile asiamini kila kitu kinachorushwa mitandaoni.

Now allow me to elaborate (nifafanue) kwanini nashawishika kusema kuwa ile video SIO ya Gwajima.

Kuna kitu kitaalamu kinaitwa "photoshopping," ambacho huyu jamaa alijaribu kukitumia lakini akashidwa ku-excute vizuri. Basically, Photoshopping is the process of altering (a digital image) with Photoshop software or other image-editing software especially in a way that distorts reality (as for deliberately deceptive purposes).

Kwa tafsiri ya Kiswahili, hiki ni kitendo cha kubadilisha picha kwa kutumia software maalum za kuhariri picha kwa kusudi la kupotosha kwa ajili ya kufanya udanganyifu wa makusudi.

1). Alichokifanya huyu jamaa aliyetuma hizi picha ni kuchukua video halisi ya Gwajima (ile video ya kwanza aliyokuwa amepumzika kitandani kifua wazi), halafu akaamua kulaghai umma kwa kuweka chini yake video nyingine za mtu tofauti kabisa (anayefanana kwa mbali na Gwajima), ili kuwaaminisha watu kuwa aliyepo kwenywe ile video ya chini ni Gwajima. Kwa mtizamo wangu binafsi aliyeko kwenye video ya pili sio Gwajima.

2). Hebu ichunguze video ile kwa makini. Utagundua (angalia angle ya Camera), kuwa ile video ilikuwa inarekodiwa na mtu mwingine tofauti na Gwajima. Evidence: Kwanza hakutaka sura ya "fake Gwajima" ionekane. Why? Kwasababu alijua akimulika Camera direct usoni kwa huyo anayesemwa kuwa ni Gwajima, watu wenye akili timamu watagundua kuwa sio Gwajima yule. So alichokifanya alikuwa anakwepesha Camera ismulike usoni.

3). Gwajima ni mtu mjanja sana hawezi akaruhusu afanye mapenzi hali akijua kuwa ana maadaui wengi sana wasiomtakia mema huku akiruhusu mtu mwingine arekodi video. Hata kama ni mimi nisiye na maadui wengi wa kisiasa nisingweza kufanya such a rockie mistake. Kwanini nasema vivyo? Nasema hivyo kwasababu, ukiangalia ile video vizuri, utaona kuwa kuna kipindi mtu aliyekuwa anarekodi alikosea kidogo Camera ikamulika usoni kwa "fake Gwajima".... then faster, "fake Gwajima" akanyoosha mkono kukinga ili asionekane usoni. Sasa kama kweli alikuwa Gwajima, kwanini video ya kwanza (ambayo haisusiani kabisa na hii ya uchafu wa kijinga unaosambaa mitandaoni, yaani video ya pili) ghafla aamue kuficha sura hali ameshajiachia na kujionyesha kwenye video ya kwanza? Think people! Acha mihemuko!

4). Kingine, yule Binti aliyeko kwenye picha ya kwanza ni kaportable fulani. Mwembamba mwenye superb figure. But huyu aliyeko kwenye hii "fake video" ya pili ananekana ana kitambi / katumbo. Wapi na wapi mazee....!!

Aliyefanya huu ushenzi inabidi asakwe alafu afungwe miaka mingi sana ili suala kama hili lisijirudie tena!

I rest my case. You decide.

Me, Gustanza the Great.
 
Kwanini uweke tamko "Unadhani" au unataka kupasha habari ?

Usiwe mbishi swali lako lilikuwa ushahidi wa Daudi kusini , ukasome biblia or else pole

1. Jibu ndio

Alizini na mke wa askari wake

2. Matokeo ya huo uzinzi....Suleimani nabii alizaliwa

Sasa endelea na ubishi wako
 
Acha porojo LAANA YA MASHEHE WA UAMSHO IMEMPATA NANI AU UMEPATA PLATFORM

LAANA YA SHEHE WA MKOA WA DAR IMESHINDWA KUMPATA MANGE.
nimecheki video yote full ni dakika tatu hadi tano i think ni aibu mno kila kitu open kwa maana ya open , mtumishi ameaibika dunia nzima manake mi niko ulaya mda huu!! sasa niliwaza mambo mawili 1. nasikia kuna video youtube huyu bwana aliwakashifu waislam na kuwakataza wazungu kupokea waarabu wakimbizi wanaokimbia kuuwawa kwao na wazungu eti walimsikia!! sasa laana ya masheikh waliomjibu huko huko youtube tena wenye swaum kama unajipenda usiijaribu huo moto wake!!! 2. yasemekana kuna udaku kuwa alitembea na mke wa mtu ndoa ikavunjika hii inaitwa Karma!!! hii awamu hadi iishe kila mtu mwenye umaarufu na pesa asipodanja basi Mirembe sebuleni kwake!!
 
Mambo ya msingi hayaendi peke yake, yatafika yamechakaa.si unajua hata samaki huchanganywa na malando ya mbao.
 
Jamani inabidi ashauriwe ale mboga mboga ili akuze kiwango chake cha shughuli.... Hiki ni kiwango cha chini kabisa jamani...
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom