Video chafu ya Baba Askofu Josephat Gwajima Yavuja...

Status
Not open for further replies.

warumi

R I P
May 6, 2013
16,273
18,375
Kuna Video zinasambaa zinazodaiwa ni za Askofu mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima

Hakuna binadamu aliyekamilika. Watu wengi wanafikiria kuwa mtu akiwa mtumishi wa Mungu au akiwa na vyeo vyovyote vya utakatifu basi hufikiri mtu huyo hatendi dhambi kama binadamu wengine, lakini ukweli ni kwamba wengi wao huwa na madhambi ya kutisha zaidi pengine kuliko hata wapagani ambao hawamjui Mungu , vitabu vitakatifu vinatufundisha kuwa tusijaji tusije tukahukumiwa.

Hao Hao wanaojiita wachungaji na watumishi , wengi wao wanafanya dhambi za kutisha.

Ukiacha nguvu za Giza anazotumiwa kushiriki Mchungaji gwajima, Leo kakwaa skendo nzito ya kufanya mapenzi na kujitecord akiwa kitandani akifanya uzinzi na mwanamke asiyejulikana.

Kweli Mungu wa makonda anajibu kwa wakati, huyu baba alijua kumtukana na kumdhihaki makonda, Leo uchafu wake wote uko nje, sijui ataweka wapi sura yake .

Ikumbukwe juzi juzi tu walipatana na makonda na kukumbatiana, ama kweli dunia hadaa na walimwengu shujaa
IMG_6630.JPG

Zaidi, soma;

Yawezekana hiyo ni namna mojawapo ya mchungaji wa kiume kumpatia mwamini wa kike baraka hasa katika ndoa yake hasa ya kupata watoto.
Pia yaweza kuwa ni sehemu ya mafunzo kwa vitendo yanayolenga kudumisha ndoa au kuendea kufunga ndoa.
 
Video zimezagaa mtandaoni zikionyesha baba Askofu Gwajima akiwa faragha na mwanamke , mbaya zaidi video hizo zinaonyesha baba Askofu akijirekodi mwenyewe akiwa na mwanamke huyu.
Sasa haieleweki Kama amepoteza simu yake na wahuni kusambaza au Nini kimetokea video hizo kuvuja
 
Hakuna binadamu aliyekamilika. Watu wengi wanafikiria kuwa mtu akiwa mtumishi wa Mungu au akiwa na vyeo vyovyote vya utakatifu basi hufikiri mtu huyo hatendi dhambi kama binadamu wengine, lakini ukweli ni kwamba wengi wao huwa na madhambi ya kutisha zaidi pengine kuliko hata wapagani ambao hawamjui Mungu , vitabu vitakatifu vinatufundisha kuwa tusijaji tusije tukahukumiwa.

Hao Hao wanaojiita wachungaji na watumishi , wengi wao wanafanya dhambi za kutisha.

Ukiacha nguvu za Giza anazotumiwa kushiriki Mchungaji gwajima, Leo kakwaa skendo nzito ya kufanya mapenzi na kujitecord akiwa kitandani akifanya uzinzi na mwanamke asiyejulikana.

Kweli Mungu wa makonda anajibu kwa wakati, huyu baba alijua kumtukana na kumdhihaki makonda, Leo uchafu wake wote uko nje, sijui ataweka wapi sura yake .

Ikumbukwe juzi juzi tu walipatana na makonda na kukumbatiana, ama kweli dunia hadaa na walimwengu shujaa
Picha!!! uzushi wa kututoa kwenye msiba wa Daddy
 
Hakuna binadamu aliyekamilika. Watu wengi wanafikiria kuwa mtu akiwa mtumishi wa Mungu au akiwa na vyeo vyovyote vya utakatifu basi hufikiri mtu huyo hatendi dhambi kama binadamu wengine, lakini ukweli ni kwamba wengi wao huwa na madhambi ya kutisha zaidi pengine kuliko hata wapagani ambao hawamjui Mungu , vitabu vitakatifu vinatufundisha kuwa tusijaji tusije tukahukumiwa.

Hao Hao wanaojiita wachungaji na watumishi , wengi wao wanafanya dhambi za kutisha.

Ukiacha nguvu za Giza anazotumiwa kushiriki Mchungaji gwajima, Leo kakwaa skendo nzito ya kufanya mapenzi na kujitecord akiwa kitandani akifanya uzinzi na mwanamke asiyejulikana.

Kweli Mungu wa makonda anajibu kwa wakati, huyu baba alijua kumtukana na kumdhihaki makonda, Leo uchafu wake wote uko nje, sijui ataweka wapi sura yake .

Ikumbukwe juzi juzi tu walipatana na makonda na kukumbatiana, ama kweli dunia hadaa na walimwengu shujaaView attachment 1090460
Asa io selfi yake alipiga akiwa kitandani ina shida gani??
 
tehtehh 😂😂😂mzee wa faa faa ffff aka mzee wa kolomije jirani yake daudi bashite...... kwa haya matukio kuongozana hivi haiishi miezi 2 kuna tukio litatokea hapa bongo myb lishatokea na hizi drama ni kusindikizia ili kuwaweka sawa wale walio stukia!!!
 
Status
Not open for further replies.
16 Reactions
Reply
Back
Top Bottom