Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,329
- 217,358
- Thread starter
- #41
zaidi ya kuwatumia polisi kupora masanduku hamjawahi kuwa na jipyaSubir matokeo ya kwanza uchaguzi serikali za mitaa.
zaidi ya kuwatumia polisi kupora masanduku hamjawahi kuwa na jipyaSubir matokeo ya kwanza uchaguzi serikali za mitaa.
Kama naliona vile , linduli Magufuli linavyouma meno huko machakani kwao lilipozaliwa .
Mwaikambo utwa mbombo nkamu ?
Tafuteni visingizio vipya hivyo vishaharibika.zaidi ya kuwatumia polisi kupora masanduku hamjawahi kuwa na jipya
"Jinsi unavyo zidi kupanua ndivyo watu wanavyo zidi kutamani" by Hon Anna Tibaijuka.Haya mambo huwa yako namna hiyo, ukibana sana ndo na watu wanataka sana.
😆😆😆😆"Jinsi unavyo zidi kupanua ndivyo watu wanavyo zidi kutamani" by Hon Anna Tibaijuka.
acheni wizi wa kura mkuu , bila polisi nyinyi ni wepesi mno !Tafuteni visingizio vipya hivyo vishaharibika.
Astaghafululai msalie MtumeHaya mambo huwa yako namna hiyo, ukibana sana ndo na watu wanataka sana.
Habari ndio hiyo mkuu......
......Dadaaaadeki
Mikutano nyie mnafanya upinzani mnawapiga pini!Tafuteni visingizio vipya hivyo vishaharibika.
Huyo anahangaika na nyuzi za Musiba tu
CDM wapo vizuri nadhani hakuna posho wala nauli hapo wadau wengi. Hakika unavyobana ndio pananoga zaidi.
utakubali vipi Chama kilicholeta kila aina ya dhiki nchini ?