Video: CHADEMA yasababisha tetemeko la Ardhi Tunduma , Kishindo cha Mbowe chaleta balaa

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,633
218,063
Hakika kulikuwa na ulazima wa kumkamata Mwakajoka tena kwa kesi ya kutunga hata ya miaka 10 iliyopita , Kama hali ni hii ni bora siasa zipigwe marufuku
CHADEMA ni Msingi mjini Tunduma chini ya Mwenyekiti Mbowe leo... - JONGWE - MVMP - .jpg
 

Attachments

  • Mwenyekiti wa Chadema taifa mhe.@freemanmbowetz akipokelewa na maelfu ya wanacha ( 422 X 750 ).mp4
    3.9 MB
Kwa sasa itoshe kusema kuwa cdm ndiyo imezinduka upya maana kila sehemu ikitokea wana nchi kupata nafasi ya kukutana na kiongozi wa cdm wanaona kama wamekutana na malaika mkombozi wao.

Leo hii mh Mbowe ametikisa wana wa Tunduma na baadhi yao ni wana ccm wamerudisha kadi zao na kujiunga na cdm.
FB_IMG_1562940475906.jpeg
FB_IMG_1562940486518.jpeg
FB_IMG_1562940480975.jpeg
 
Back
Top Bottom