Video call app ipi ni nzuri na yenye ubora kupita skype, imo,viber, tango na duo?

yakobo11

JF-Expert Member
Aug 10, 2016
510
736
Habari za muda huu members , mimi nahitaji kujuzwa aina mbili za video call app bora na zenye picha bora anisaidie.
Kuna hizo nilizozitaja hapo juu nimeshawahi kukutumia lakini zina matatizo yake, hazina ubora kufikia IMO, sema IMO siku hizi haipatikani hata nje ya nchi, maana yake uwezi kuongea kwa video na mtu aliye nje ya nchi.

Mwenye kujua app bora ya mfano wa IMO jamani anijuze.
 
whatsapp itabaki kileleni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu chk zoom meeting iko frxh nayo
Hakika hii ndio kila kitu.
- Iwe ni voice call au
- Video call iko vyema
- Na uzuri waweza kutumia kifaa chochote iwe simu , Tab, au PC.
- Kwa PC ni nzuri zaidi maana hata illustration, drawings unafanya direct kupitia zoom, ina recording option na waweza unga watu wengi kadri ya hitaji lako.
 
Exactly mkuu, this is my first option. Na pia companies zinazofanya hiring online huitumia sana kufanya interview mfano ANDELA
 
Mkuu kama upo serious na quality hakuna kama skype. Utapata full HD 1080p resolution kitu ambacho ni nadra kukikuta app nyengine ulizozitaja. Pia unaweza ukatumia skype business kwa features zaidi.

Pia ukumbuke quality ya video call inaathiriwa pia na webcam/camera ya mbele ya kifaa unachotumia kupigia hio call. Na hili ni kwa wote anaepiga na anaepigiwa mmoja wao akiwa na camera mbovu ujue ataathiri quality.

Bila kusahau internet iliyo slow inaweza pia kuathiri quality.
 
Hivi 'imo' bado iko vizuri??

Kwangu nadhani Skype,Duo & Zoom ndo funga kazi
 
Back
Top Bottom