Video:Bush aonesha dalili za mahusiano na mke wa Obama, taharuki yazuka

Samweli Mathayo

JF-Expert Member
Aug 1, 2017
1,577
1,700
Ipitie video hii kwa umakini,

Bush amempa kiss ya maana mke wa.Obama, na inaonesha obama kama.anahisi jambo fulani ,

Kumbe hata wakubwa ni hatari

Vipi hii ikifanyika hapa Tz, magazeti yataandika sana

Ipitie video hii kwa umakini,

Bush amempa kiss ya maana mke wa.Obama, na inaonesha obama kama.anahisi jambo fulani ,

Kumbe hata wakubwa ni hatari

Vipi hii ikifanyika hapa Tz, magazeti yataandika sana

Hii mimi ukifanya mbele yangu nakuchapa ngumu za akili,nikiona unanizidi nguvu hata mawe utachezea,yaani unapiga mke wangu busu kwa kusikilizia kabisa,halafu mama Obama ukiangalia kwa makini kafunga mpaka macho,mtu mwenyewe Bush,simuamini hata kidogo..,ila kwa Obama hii ni zamu yake kwani aliwahi fanya hivi vituko mbele ya mke wake akiwa na David Cameron..
 
Back
Top Bottom