Video: Busara za Mzee Kinana zilivyogusa hisia za wasikilizaji

Mkuu ukimtaja huyo mtu huu uzi waweza kuondolewa
Ha, Moderators watakuwa wanatuonea. Kwani Magufuli sio kiongozi? Au Kinana alikuwa anamaanisha Trump?

Itakuwa interesting kwenye cross examination na moderators;

"Kinana alisema nini?"
"Alisema kiongozi awe msikivu"
"Synthesizer alisema nini?"
"Alisema kwenye kauli ya Kinana weka Magufuli badala ya kiongozi"
"Kiongozi au viongozi?"
"Kinana alisema kiongozi"
"Je Magufuli ni kiongozi"
"Ndio"
"Kwa hiyo kuna kosa Synthesizer akiweka Magufuli badala ya kiongozi?"
"Ndio kuna kosa"
"Kwa nini"
"Kwa sababu Kinana hakumaanisha Magufuli alisema Kiongozi"
"Tutajie baadhi ya viongozi wa hapa nchini ukianza na wa juu kabisa"
"Magufuli"

Case closed.
 
hahahahahahah.
 
Back
Top Bottom