Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,623
- 218,046
Kuna msemo wa Kiswahili unaodai kwamba Wazee ni hazina, ama unaweza kusema Mkubwa dawa.
Mkuu ukimtaja huyo mtu huu uzi waweza kuondolewaUkitaka kumwelewa vizuri Kinana, kila sehemu aliposema neno "Kiongozi" weka "Magufuli"
Kuna msemo wa kiswahili unaodai kwamba Wazee ni hazina , ama unaweza kusema Mkubwa dawa .
Ha, Moderators watakuwa wanatuonea. Kwani Magufuli sio kiongozi? Au Kinana alikuwa anamaanisha Trump?Mkuu ukimtaja huyo mtu huu uzi waweza kuondolewa
Kuna msemo wa Kiswahili unaodai kwamba Wazee ni hazina, ama unaweza kusema Mkubwa dawa.
View attachment 1354403
unataka kumuokota mkuranga ?Natamani hii kideo iwe ya leo leo jamani
Kazi ya Mungu haina makosa, lakini angekufanya mbuzi wewe ingekuwa faida zaidi maana sikukuu ungetosha kuwa supuMbowe asikilize ushauri wa Kinana apishe wengine.
Amekalia kutishia watu eti sumu haionjwi kwa ulimi
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila ni Kanali huyo! Na makambini bado wapo rafiki zake kibao.unataka kumuokota mkuranga ?
Awekwe dj.Mkuu ukimtaja huyo mtu huu uzi waweza kuondolewa
Hata supu hapana, angeliwa na wanyama porin ama kumezwa na chatuKazi ya Mungu haina makosa, lakini angekufanya mbuzi wewe ingekuwa faida zaidi maana sikukuu ungetosha kuwa supu
Sent using Jamii Forums mobile app
hahahahahahah.Ha, Moderators watakuwa wanatuonea. Kwani Magufuli sio kiongozi? Au Kinana alikuwa anamaanisha Trump?
Itakuwa interesting kwenye cross examination na moderators;
"Kinana alisema nini?"
"Alisema kiongozi awe msikivu"
"Synthesizer alisema nini?"
"Alisema kwenye kauli ya Kinana weka Magufuli badala ya kiongozi"
"Kiongozi au viongozi?"
"Kinana alisema kiongozi"
"Je Magufuli ni kiongozi"
"Ndio"
"Kwa hiyo kuna kosa Synthesizer akiweka Magufuli badala ya kiongozi?"
"Ndio kuna kosa"
"Kwa nini"
"Kwa sababu Kinana hakumaanisha Magufuli alisema Kiongozi"
"Tutajie baadhi ya viongozi wa hapa nchini ukianza na wa juu kabisa"
"Magufuli"
Case closed.
Hoja dwaifu sana !Hivi sasa Kinana sio jangili wa meno ya tembo tena. Mnabadilika badilika sana nyie makamanda uchwara.
Sitakunywa hiyo supu!Kazi ya Mungu haina makosa, lakini angekufanya mbuzi wewe ingekuwa faida zaidi maana sikukuu ungetosha kuwa supu
Sent using Jamii Forums mobile app