Video: Boti iliyobeba wahamiaji ilivozama na kuua

Muda mwingine nachukizwa sana na akili yetu binadamu badala ya kusikitika. Unakimbia nchi yako sawa lkn huwezi kutumia akili aina gani ya usafiri huku ukiwa na watoto wako. Sawa wengi tunazamia lkn si kwa usafiri hatari kama huo tena kila siku watu wakifa
 
Back
Top Bottom