mrangi JF-Expert Member Feb 19, 2014 80,658 105,587 Jun 9, 2021 #5 Mtoto halali na hela said: Mwendo wa mikong'oto Click to expand... Hukuona kifuti alichopewa mchina Ova
Mtoto halali na hela said: Mwendo wa mikong'oto Click to expand... Hukuona kifuti alichopewa mchina Ova
C chugastan Senior Member Dec 6, 2019 127 383 Jun 9, 2021 #6 Mchina toleo la mwisho huyo, kumbe si kila mchina anajua Kung Fu
MastaKiraka JF-Expert Member Jan 10, 2015 4,818 15,083 Jun 9, 2021 #7 Safi sana, ndivyo inavyopaswa kuwa
dudus JF-Expert Member Feb 28, 2011 22,116 49,358 Jun 9, 2021 #11 Donnie Charlie said: NCHI GANI? Click to expand... Swali zuri! Nilidhani Bongo kwa makondoo kumbe ni nchi watu wanakojitambua. Machina ni mashenzi sana.
Donnie Charlie said: NCHI GANI? Click to expand... Swali zuri! Nilidhani Bongo kwa makondoo kumbe ni nchi watu wanakojitambua. Machina ni mashenzi sana.
That Gentleman JF-Expert Member Dec 16, 2016 2,186 3,598 Jun 9, 2021 #12 Mr Sheng si angetumia style ya Wing chun, angechukua point zake 3 mapemaaaaa
financial services JF-Expert Member May 17, 2017 17,094 40,614 Jun 9, 2021 #14 Safi sana! Ukizingua tunazinguana heshima itakuwepo 😀
Abrianna JF-Expert Member Mar 30, 2021 4,697 15,374 Jun 9, 2021 #15 Maghayo said: Click to expand... Huyu tumjengee sanamu, amefanya jambo la kishujaa la mfano wa kuigwa
Maghayo said: Click to expand... Huyu tumjengee sanamu, amefanya jambo la kishujaa la mfano wa kuigwa
Mgagaa na Upwa JF-Expert Member Sep 30, 2013 11,610 21,962 Jun 9, 2021 #16 Ile kick ndio nimeipenda, alipokosea pale wakati mvimba macho anadondoka ilibidi amkite kabisa pambavu
Ile kick ndio nimeipenda, alipokosea pale wakati mvimba macho anadondoka ilibidi amkite kabisa pambavu
Chukwu emeka JF-Expert Member Jan 12, 2018 23,404 36,542 Jun 9, 2021 #17 Amepigwaje na tulisimuliwa kuwa wachina wote karate ni sehemu ya maisha, ngoja nimtafute kaka aliyenisimulia, kumbe alinidanganya
Amepigwaje na tulisimuliwa kuwa wachina wote karate ni sehemu ya maisha, ngoja nimtafute kaka aliyenisimulia, kumbe alinidanganya
NAWATAFUNA JF-Expert Member Nov 14, 2019 13,286 24,001 Jun 9, 2021 #18 Lawama zienda kwa huyo mpigaji kwanini akumtoa meno au kumpasua uso huyo mchina?
Econometrician JF-Expert Member Oct 25, 2013 15,792 28,431 Jun 9, 2021 #19 Mchina alikimbilia fimbo ya Ku mfu.
MIXOLOGIST JF-Expert Member Mar 1, 2016 12,655 31,423 Jun 9, 2021 #20 Kumbe yale ma-Kung fu kwenye movies ni kuch kuch wantae