VIDEO: Basi la Asante Rabi Express likitoa Kichapo kikali kwa Wapinzani wake

Asante kwa taarifa basi hivyo video tumewafikishia wahusika na watalifanyia kazi.
 
Ni siasa tupu mkuu, zamani walilazimisha kila bus kuwa na hizo namba, zilidumu kwa muda fulani zikaondolewa, nadhani Traffic police nao walichoka kupigiwapigiwa simu, nilishangaa kuna magango ya SUMATRA kwenye hayo mabasi lakini hayana namba yoyote, utasema kuna mamlaka na watendaji hapo!?
Ni kweli Mkuu MUNGU ATULINDE TU
 
Mghamba brigedia ndio kawa shoga kiasi icho jamani
Iyo mashine inapiga masafa marefu hatariiiii from mwanza to rombo
 
Aksante kwa kutuambia uko ughaibuni ndio maana unatukana watu wengine kuwa vichwa vyao vimefyatu. Uko ughaibuni wapi mkuu?? Miye pia nipo ughaibuni. Sydney na sio kwamba natembea kwa miguu ila nimeuliza tu kuwa huko nyumbani mbona ajali ndio zimeongezeka zaidi baada ya tochi?? Mbona tumeongeza kipato cha faini za mwendo kasi yaani kwa kuwapiga faini wenye mwendo kasi?? Je, hizo faini ndizo huleteleza ajali hizi??
Tutafute sababu haswa wala tusikimbilie zaidi mwendo kasi. Tusitoa majibu mepesi kwenye maswali magumu. Tusikubali kupumzika kufanya utafiti zaidi kwa janga hili.
Speed ni moja ya chanzo cha ajali... popote duniani. Nazungumzia utafiti uliokwishafanywa na siyo kama najisemea. Na mbaya zaidi speed hufanya matokea ya ajali yawe mabaya zaidi. Kujua vyanzo vya ajali wala siyo maswali magumu kama wewe unavyodhani. Kuna tafiti nyingi zilishafanywa kuhusu ajali za barabarani duniani kote na Tanzania ikiwemo. BTW naona kusema niko ughaibuni umeona kama najidai mpaka ukafikia hatua ya kuongopa uko Sydney! Mimi sikudanganyi ndugu nipo Europe na wala siyo kitu cha kujivunia.
 
Wakati Mghamba ana Marcopolo zake kadhaa na scania nyingine 3 moja imeandikwa Mississippi ya pili Sauti ya Kamanda na Brigedia. Ilikuwa ni balaa kwa hiyo route, ilifikia hatua hiyo kampuni ikafungiwa. Ila kwa sasa hayo mabasi yameishachoka ndo sababu ya Ahsante Rabi kuwika
Kweli aisee mwenyew nimeshangaa leo rabi kutamba ila service zao mbovu sana ndio chanzo cha hayo mabasi kuchoka
 
Nyie
Speed ni moja ya chanzo cha ajali... popote duniani. Nazungumzia utafiti uliokwishafanywa na siyo kama najisemea. Na mbaya zaidi speed hufanya matokea ya ajali yawe mabaya zaidi. Kujua vyanzo vya ajali wala siyo maswali magumu kama wewe unavyodhani. Kuna tafiti nyingi zilishafanywa kuhusu ajali za barabarani duniani kote na Tanzania ikiwemo. BTW naona kusema niko ughaibuni umeona kama najidai mpaka ukafikia hatua ya kuongopa uko Sydney! Mimi sikudanganyi ndugu nipo Europe na wala siyo kitu cha kujivunia.

Nyie nao mnatuchosha sasa speed, speed mara ughaibuni, ughaibuni. Hebu acheni ngoma zitambae bwana kwani vipi?
 
Nani kakuambia kuwa Speed kali huua?? Tafuteni sababu ya ajali nyingi kutokea Iringa na Mbeya wala sio mwendo mkali. Watu mmekuwa mkitoa majibu mepesi mepesi sana kwa maswali magumu nyiye.
Hakuna kipindi kumewekwa tochi za barabarani ka awamu hii lakini pia hakuna kipinda au awamu iliyojaa ajali kubwa kubwa ka hii. Tujiulize; Kwa nini?? Je, tochi zinaongeza ajali??
Moja wapo ya sababu kuu.. Na speed kubwa pia inatofautiana na sehemu.. Unaweza kuna unakimbia 50 wakati unatakiwa ukimbie 10.
 
Speed ya kawaida sana hiyo..binafsi napenda sana madereva wanao mwaga moto...chombo itembee ndio raha ya safari..kuhusu ajali ni popote tu..ukiwa na imani utajua kama kifo hakikimbiwi..haimaanishi kwenda mdogo mdogo ndio hutakufa..ila tahadhari muhimu.
 
Kweli mkuu
 
Mbio za langa langa, namuona marcos Alonzo na team ferrari inaongozaaaa
Lakini kwa ukaribu Michael Schumacher anakaribia......
Napenda sana kucheki

Jamaa kanikumbusha mbali sana. Mara huyu apa tena sijui Ahsante Rabi akigawa wesere kwa wapinzani wake
 
Aksante sana kwa mawazo mazuri kihivyo. Sikujua kuwa hata machizi huchangia humu JF. Huo upuuzi ulisomwa na mpuuzi na swinw ndo maana huyo mpuuzi na swine akaufurahia vilivyo. Hongera swine
Dereva katulia na anatoka kwa akili na ajali nyingine hawajui zinasababiswa na mwendo mdogo vile vile.. na anaeonge kiuwoga hajui ugumu wa kuendesha gari speed 50 kwenye barabara ya Highway ..kama umetulia na huna mausingizi ya kifala lazima utembee kwa kujiamini na utakiluwa poa roading kama kawaida.. mimi nishatembea sana na kitu nachoogopaga ni kuendesha gari nikiwa nimekunywa pombe au uvhovu wa usingizi.. kinyume na hapo kibati tu *****
 
Back
Top Bottom