Hata wewe hatuwezi kukulinganisha na Ali kiba tutakua tunakukosea heshima maana umemzidiKujipendekeza nacho kipaji jamani
Dogo mziki umemshinda so anachotafuta ni attention na huruma ya wananchi! Pole yake huyu kijana ni mweusi sana huyu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata sasa hiv ukiamua kuimba utampita Alikiba now days kiukwel kiba ananiangusha sana sijui kapatwa na Nini? Tokea atoe aje mpaka sasa hiv kashindwa kutoa kazi yakushawishi.Kujipendekeza nacho kipaji jamani
Kwani alikuwa anagombea Mtanzania pekee yake?Wakuu vipi Diamond, kapokea tuzo ngapi juzi?