Video: Baraka The Prince adai Alli Kiba ni level ya Best Naso na sio Diamond Platnumz

Cheusi mangala baraka da prince kosa kubwa alilolifanya kwanza ni kugombana NA watu ambao wamemtoa matopeni,wanamjua vizuri na wamemfanya yeye kuwa star na wao ndio walikuwa wanamuandikia nyimbo pili ni kusainiwa na rockstar chini ya alikiba hapo ndio alijipoteza mwenyewe, sasa hivi anahangaika tu kujipendekeza kuna kipindi cha nyuma alishawahi kusema hamjui diamond Leo hii anamponda kibakuli ili upande was pili wamuonee huruma wamsapoti,
 
Back
Top Bottom