Video: Baraka The Prince adai Alli Kiba ni level ya Best Naso na sio Diamond Platnumz

Ali ana platforms kubwa sana angetwist mziki wake kukamata soko la nje ya Tz kwa kufanya kollabo angeongeza mashabiki na angekuwa mbali sema ni mvivu asiyejichanganya na anayefanya vitu vyake mwenyewe.Kabaki kuimbia watz tu na watz wenyewe wameanza kutokumuelewa. Ali kama una pita huku changamka bhn.
Nahis me ntakuwa Msudan mbona me namuelewa tena sana tu na ni MTZ...alokwambia kuskika nje hadi ufanye kolabo nani?...Fanya kazi nzuri ipeleke sokoni...wimbo Wa AJE ulichukua tuzo karibu 13 na alifanya peke yake,afanye tu kwa kuwa labda mnapenda kuskia akifanya international collaboration bt si kigezo saana cha kujitanua..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alli Kiba level za best naso , inawezekana ni ukwel mchungu mpak anamdhulum producer kitu ambacho naamin hata best naso hawez fanya
 
Shukurani ya punda ni mateke huyu jamaa nyimbo zake zote hajawahi fikisha hata 700k views YouTube isipokua ile kaimba na Alikiba ambayo ina views 1.7M , bongo nchi ya laana hii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom