Video: Baraka The Prince adai Alli Kiba ni level ya Best Naso na sio Diamond Platnumz

Ni kweli Ali Kiba hapaswi kulinganishwa na Diamond, na hii ni simply tu kwakuwa mahadhi ya nyimbo zao hayafanani hata kidogo.

Uyo Ali hata kama hamfikii Diamond kwa uwezo kama mnavyompima bado ana flavour zake, words art ya kivyake na ana mashabiki wake wanaovutiwa na hiyo style yake na sio kwamba eti ni msanii aliyenyongorota kama msiompenda mnavyowish.

Sent using Jamii Forums mobile app
Upo Sawa mkuu namimi nimekuelewa sanaaaa

Ila mwana kazingua kumzulumu man water kama vip atembeze bakuli tumchangie
 
Hata sasa hiv ukiamua kuimba utampita Alikiba now days kiukwel kiba ananiangusha sana sijui kapatwa na Nini? Tokea atoe aje mpaka sasa hiv kashindwa kutoa kazi yakushawishi.
Ali kiba yupi anakuangusha
Screenshot_2020-01-13-21-39-23.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cheusi mangala baraka da prince kosa kubwa alilolifanya kwanza ni kugombana NA watu ambao wamemtoa matopeni,wanamjua vizuri na wamemfanya yeye kuwa star na wao ndio walikuwa wanamuandikia nyimbo pili ni kusainiwa na rockstar chini ya alikiba hapo ndio alijipoteza mwenyewe, sasa hivi anahangaika tu kujipendekeza kuna kipindi cha nyuma alishawahi kusema hamjui diamond Leo hii anamponda kibakuli ili upande was pili wamuonee huruma wamsapoti,
Rockstar alijitoa pale ndo alipoharibu...KUJITOA wale jamaa wangemfanya atambulike Africa kwa urahisi akaleta ujinga acha ale jeuri yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom