Video: Barafu Biharamulo - Mabadiliko ya Tabia nchi ndio haya

Masahihisho kidogo.

Hiyo unaweza sema ni Climate changes instead of Global warming.
Ndio Climate change inajumuisha Global warming lakini kwa definition ya Global warming hiyo siyo Grobal warming.

Grobal warming ni pale joto la jua linapokuwa trapped in our low atmosphere due to the humans immensely use of fossil fuels.
Hivyo inapelekea dunia kuwa hot than beyonce.

Which means ile effect ya greenhouse kuongezeka rapidly.
Greenhouse effect ni kitu kizuri sababu ndio inafanya tuishi bila ya kujifunika mablanket matatu ila inapozidi dunia inageuka simple version of Hell itself.

Hivyo hiyo bila shaka itakuwa Climate change lakini definitely sio Grobal warming.
 
Wapi huko?
Dah adi rahaaa, nakumbuka michezo ya kwenye barafuu...tulikuwa tunasokota barafu inakuwa ka tonge la ugali kisha unamshweka/mpiga nalo jirani ako kikalio chakee full kuchekaaa
 
Tulioshuhudia tunasema hivi. Mvua kubwa ya mawe ilioambatana na upepo mkali ilinyesha Biharamulo trh 14/08/2021 kuanzia saa kumi mpk saa kumi na moja jion.
Baada ya Mvua ya mawe kunyesha yakatengeneza barafu ambazo zilidumu kwa muda wa saa 15.
 
Mara mvua ya mawe, mara theluji au snow.....which is which, sioni kama kuna hali ya hewa ya kutengeneza theluji huko biharamulo, labda kwenye kilele cha mlima kilimanjaro....
 
Sitaki kuamini kama hatujui maana ya Global warming...

Global warming haihusiki kwa vyovyote hapa ndugu zangu, Si hata Neno lenyewe Warm... Linajielezaa...??

Lakini pia Sidhani kama bihalamulo kuna baridi kiasi cha kutengeneza barafu, niungane na wengine wanaosema ni Mvua ya mawe kama tunavyoita.
 
... kutoka Biharamulo unaenda Equator kwa mguu. Very rare event to happen along the Equator.
 
Back
Top Bottom