VIDEO - Azikwa Hai Bila Huruma Kama una moyo mwepesi usiangalie hii video. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

VIDEO - Azikwa Hai Bila Huruma Kama una moyo mwepesi usiangalie hii video.

Discussion in 'Jamii Photos' started by MziziMkavu, Apr 30, 2012.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Apr 30, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,607
  Likes Received: 4,600
  Trophy Points: 280
  [TABLE="width: 491"]
  <tbody>[TR="bgcolor: #E1E1E1"]
  [TD][​IMG]
  Wanajeshi wa Syria wakimzika mtu hai[/TD]
  [TD]Monday, April 30, 2012 1:53 AM
  Pamoja na kelele za kuomba asiuliwe, mmoja wa wanajeshi wa waasi nchini Syria alizikwa mzima mzima bila kuhurumiwa na wanajeshi wa rais Assad wa Syria akifukiwa kidogo kidogo mpaka alipozikwa mwili mzima kwenye kaburi alilochimbiwa.Kama una moyo mwepesi usiangalie video ya habari hii tuliyowawekea.[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="colspan: 3"]ONYO: Kama una moyo mwepesi usiangalie video ya habari hii iliyopo mwisho wa habari hii.

  Wanajeshi wa serikali ya rais Bashar al-Assad wa Syria wanatuhumiwa kufanya ukatili wa hali ya juu kwa kumzika mtu huku akiwa hai.

  Katika video iliyozagaa kwenye mitandao mbalimbali, wanajeshi wa Assad wanaonekana wakimzika mtu anayesadikiwa kuwa ni mmoja wa wanajeshi wa waasi wanaoipinga serikali ya rais Assad.

  Mwanaume huyo alizikwa mzima mzima hadi shingoni kwenye kaburi alilochimbiwa. Huku akiwa amezungukwa na wanajeshi wenye mitutu ya bunduki, mwanaume huyo alionekana akilia kuomba ahurumiwe asiuliwe lakini wanajeshi hao badala yake walimrushia matusi huku wakimfunika mzima mzima kwa mchanga.

  Tukio hili limetokea huku kukiwa na mlipuko mkubwa kwenye mji wa Hama ambapo zaidi ya watu 68 walifariki kutokana na mlipuko huo.

  Waasi wa Syria wameuomba umoja wa mataifa ufanye kikao cha dharura kuokoa maisha ya raia wa Syria.

  Kama hauna moyo mwepesi angalia video ya tukio hilo chini.[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="colspan: 3, align: center"][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="colspan: 3"]VIDEO - Azikwa Hai Bila Huruma


  <iframe style="width: 420px" height="315" src="http://www.youtube.com/embed/LPaX7VlZsks?rel=0" frameborder="0" allowfullscreen=""></iframe>[/TD]
  [/TR]
  </tbody>[/TABLE]


  WARNING: THIS VIDEO CONTAINS VIOLENT SCENES. NOT SUITABLE FOR CHILDREN!

  I do not speak Arabic. If there are any arab speakers out there who would like to help translate this video, please message me!

  "A pro-democracy activist gets buried alive by Syrian president Bashar al-Assad's soldiers. One soldier orders him to say "There is no God but Bashar Assad", but he bravely defies the soldier, saying "There is no God but Allah" before being buried alive. This is believed to have been filmed in the Damascus area."


  VIDEO - Azikwa Hai Bila Huruma
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...