Video: Angalia bondia Salim Mtango alivyofanyiwa uhuni huko Ulaya

njaakalihatari

JF-Expert Member
Feb 12, 2019
4,084
8,663
Ni pambano la jana nafikiri na bondia wa Eastern Europe huko, jamani boxing ni mchezo wa kihuni sana, ona hiyo knock out ilivyolazimishwa.

 
Walah huyu refa ningemkula ngumi nimuoneshe sijui hiyo TKO inakuaje ....uhuni huu dadek
 
Hua inaumiza sana watu wanapolalama mabondia wakija bongo JAMANI huko nje ni zaidi ya fitina....

Mabondia wanatengenezwa nyumbani.
 
Back
Top Bottom