FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 36,013
- 40,681
Hii hali ipo mwaka wa 5 huu, sasa utasema huyo mtu ana akili zilizotimia kichwani kwake, huu si ujinga huu kabisa?! Na hapa ni katikati ya jiji kabisa
chaNa kuna ile ya mabibo sokoni
balaa
Hii barabara imepigwa hela si mchezoHii hali ipo mwaka wa 5 huu, sasa utasema huyo mtu ana akili zilizotimia kichwani kwake, huu si ujinga huu kabisa?! Na hapa ni katikati ya jiji kabisa
View attachment 1756707
Kuna ile ya mabatini nayo...Hiyo afadhali, kuna ile ya Buguruni, via Machinjioni kwenda Baracuda ni fedhea na aibu kwa TARURA Mkoa wa Daaslam. Yaaani barabara utadhani lami iliwekwa kwa Unga wa Chaki!😭😭😭
cha
Mabatini imejengwa upyaaaKuna ile ya mabatini nayo...
we naekilaza tu kama alietengeneza hiyo barabara, katikati ya mji ni posta tu.Hii hali ipo mwaka wa 5 huu, sasa utasema huyo mtu ana akili zilizotimia kichwani kwake, huu si ujinga huu kabisa?! Na hapa ni katikati ya jiji kabisa
View attachment 1756707
Yaaan barabara pekee ambayo ina kiwango afadhali ni ile ya External, EPZ,via Jeshin hadi daraja la Maji chumvi. Hawa Wahandisi wetu wa Barabara huwa natamani niwachape hata bakora kwa uhuni na Uhujumu wanaozifanyia barabara zetu maaana ni aibu sana.Kuna ile ya mabatini nayo...
Kuna wakati unaweza walaumu wahandisiYaaan barabara pekee ambayo ina kiwango afadhali ni ile ya External, EPZ,via Jeshin hadi daraja la Maji chumvi. Hawa Wahandisi wetu wa Barabara huwa natamani niwachape hata bakora kwa uhuni na Uhujumu wanaozifanyia barabara zetu maaana ni aibu sana.
Sometimes siyo wahandisi.. 10%Yaaan barabara pekee ambayo ina kiwango afadhali ni ile ya External, EPZ,via Jeshin hadi daraja la Maji chumvi. Hawa Wahandisi wetu wa Barabara huwa natamani niwachape hata bakora kwa uhuni na Uhujumu wanaozifanyia barabara zetu maaana ni aibu sana.
Nilimaanisha ishajengwa mara kadhaa...Mabatini imejengwa upyaaa
Ulipo nipoNilimaanisha ishajengwa mara kadhaa...
Mfuatiliaji amefarikiRc yupo,dc yupo,mamlaka zinazohusika zipo
Kwanini hakuna anayehoji kuhusu barabara hiyo.....
Ova
Dili zinauzwaga zileKuna wakati unaweza walaumu wahandisi
Lakini na pia mpunga wa mradi unaingiliwa na watu fulani!
Ova
Hiyo ndio wakati wa mvua unatembea kwenye lami ya tope, mpaka nikawaza lami imeyeyuka kurudi kuwa uji?Na kuna ile ya mabibo sokoni
balaa
Huyo anaetaka simu za mkononi zilipiwe Kodi?Halafu mbunge wa ilala zungu kijiwe chake cha kahawa kipo kama mita 50 kutokea hapo