Video: Anayehusika na hii barabara ya Shaurimoyo (Al-haramain), ana akili sawasawa kweli kichwani?

Mbunge ana miaka 15 jimboni, jimbo la Ilala barabara zake nyingi mbovu ,hakuna alichofanya Mh Zungu na sasa anataka kodi ikatwe kila siku kwenye simu.

Akili zilishagota hana mawazo mapya,anashindwa hata kuzungumzia kero za Ilala .
 
Ndio Maana nilikuwa simfagilii Magufuli kwa viuzembe zembe kama hivi hamfikii Kagame katu.. Kagame upuuzi kama huu anaanza na waziri,Mkuu wa Mkoa, Mkurugenzi,Mkuu wa Wilaya,Diwani,Meya,Mkandarasi na Mwenyekiti wa Mtaa... this in nonsense... Barabara za Tanzania ni mbovu na hazina ukarabati wa muda muafaka hadi viongozi wasaidiwe.. wako busy kupiga deal... Hesabu za repair zingekuwa zinawekwa wazi and mwisho wa mwezi zinatangazwa na viongozi wanaelezea wapi na wapi wamerekebisha kwa kufika eneo la tukio na record zinawekwa kabisa for our future, Sisi vijana tunapigwa sana na Wazee
 
Yaaan barabara pekee ambayo ina kiwango afadhali ni ile ya External, EPZ,via Jeshin hadi daraja la Maji chumvi. Hawa Wahandisi wetu wa Barabara huwa natamani niwachape hata bakora kwa uhuni na Uhujumu wanaozifanyia barabara zetu maaana ni aibu sana.
Barabara ikiwa mbovu unamlaumu injinia ikiwa mzuri unamsifia mwanasiasa.

Sasa nikuulize swali utasimamia vipi mradi kama fedha za usimamizi serikali haitoi?
 
Back
Top Bottom