Video ambayo haijahaririwa ya Rais Magufuli na Mkalimani wakati akihutubia mkutano wa AU

baro

JF-Expert Member
May 12, 2014
2,987
3,719

Wanabodi, kama kawaida ya wapindisha mambo na kutoufahamu ukweli wa teknolojia hasa ile video ya awali iliyosambaa kwenye mitandao ,ambayo ilikuwa imehaririwa kwa kutolewa kipande cha Mkalimani.

Hii hapa inaonesha uhalisia.

Nashauri tupende kuficha udhaifu wetu na chuki kabla ya kufahamu uhalisia.

Asanteni.
 
Mleta mada ebu tulia, usuwe na hofu sababu tunajadili kwa kiswahili na wala sio kimalikia. Hivyo usije ingia chaka au kutafuta mkalimani.

IPO hivi, ile clip ilitolowa TBCCM na hivyo kama ni editing ifanyika huko.

Pili ni Je! ................ anaweza kuzungumza kithungu.... Kilichonyooka?
 
Tatizo hasa ,nini?

Tatizo lilllopo ni Kila mtu kuwa mjuvi wa taaluma ya mwingine, kuna wajuvi walisema hiyo ni editing , nyie mkabisha

Pia lazima tubadilike tupende kujivunia cha kwetu, hivi wewe ushawahi kukaa na mchina,mjerumani ama mfaransa ,maana tu naweza kuwa tunapoteza ATP kujadili na watu wasiofaham lolote
 
Wanabodi, kama kawaida ya wapindisha mambo na kutoufahamu ukweli wa teknolojia hasa ile video ya awali iliyosambaa kwenye mitandao ,ambayo ilikuwa imehaririwa kwa kutolewa kipande cha Mkalimani.

Hii hapa inaonesha uhalisia.

Nashauri tupende kuficha udhaifu wetu na chuki kabla ya kufahamu uhalisia.

Asanteni.

Mbona nawe unaleta video ya nusu dakika? Ina maana alihutubia kwa muda mfupi hivyo?

Au ni chombo changu tu kimeipokea nusu? Au wengine mnaionaje huko?
 
Hivi mpaka leo watu hawaelewi kuwa Kiingereza ni lugha kama lugha zingine, jamani tulishapata uhuru siku nyingi bado kuna watu wanatawaliwa kifikra mpaka leo hii..... Kuna viongozi wa mataifa makubwa kama Brazil, Italy, Germany, Russia, China wanaongea lugha zao popote wanapotembelea hata wanapohutubia baraza la umoja wa mataifa.... Waafrika wengine sisi sijui lini tutaondokana na mawazo ya kitumwa. To master english language doesn't mean that you are or you will be a better leader any how (Lugha ya kiingereza haikufanyi uwe kiongozi bora asilani....)
Inanikumbusha miaka ile ukiongea kiingereza basi kijiji kizima wanasema umesoma ... Haa jamaa anatema kiingereza kweli ameenda shule huyu ...Hata kama anaongea broken English!
 
Wanabodi, kama kawaida ya wapindisha mambo na kutoufahamu ukweli wa teknolojia hasa ile video ya awali iliyosambaa kwenye mitandao ,ambayo ilikuwa imehaririwa kwa kutolewa kipande cha Mkalimani.

Hii hapa inaonesha uhalisia.

Nashauri tupende kuficha udhaifu wetu na chuki kabla ya kufahamu uhalisia.

Asanteni.

Mkuu naomba link kwani hii format uliyoiweka kwangu haijezi.
 
Hivi mpaka leo watu hawaelewi kuwa Kiingereza ni lugha kama lugha zingine, jamani tulishapata uhuru siku nyingi bado kuna watu wanatawaliwa kifikra mpaka leo hii..... Kuna viongozi wa mataifa makubwa kama Brazil, Italy, Germany, Russia, China wanaongea lugha zao popote wanapotembelea hata wanapohutubia baraza la umoja wa mataifa.... Waafrika wengine sisi sijui lini tutaondokana na mawazo ya kitumwa. To master english language doesn't mean that you are or you will be a better leader any how (Lugha ya kiingereza haikufanyi uwe kiongozi bora asilani....)
Inanikumbusha miaka ile ukiongea kiingereza basi kijiji kizima wanasema umesoma ... Haa jamaa anatema kiingereza kweli ameenda shule huyu ...Hata kama anaongea broken English!
Kaa hivyohivyo na kiswahili chako usijiongeze kujua lugha zingine
 
huu sijui ni ujinga au ni chuki

mbona tunao kina le mtuz a.k.a le mbebez wamekaa sana ughaibuni na kiingereza kwao ni chepesi kuliko kiswahili..I mean ukimwambia achague lugha nyepesi kwake ni kiingereza..

je mnaoleta za kuleta kwa rais magufuli mkipewa le mbebez awe rais wenu kwa hoja ya lugha mtampa?
 
Binafsi, sijali kama Rais ameongea lugha ya Kiswahili au hapana. Kuna nchi nyingi zimeendelea na kamwe hawaongei kiingereza kwenye mikutano. Why is this an issue anyway? Ukihudhuria mikutano waje watu wa Angola au Msumbiji uone walivyo weusi na wanavyochapa Kireno utasikitika. Unajiuliza, je hakuna alternative language kwao? Rais wa China akija hapa ataongea Kiingereza? Sidhani kama suala hili lina umuhimu na kipaumbele kwa Taifa letu kwa sasa kuliongelea. Natamani ningeenda US nikakaa na watu nikaongea Kiswahili, why not?
 
Back
Top Bottom