VIDEO:Aibu ya CCM mpya, Wachina waingilia siasa zetu wakilindwa na Polisi

nzagambadume

JF-Expert Member
Apr 9, 2018
2,430
5,769
Embu angalia mchina jamani anashiriki siasa za nchi kisa anaimba nyimbo ya kumsifu mfalme, aisee halafu ukiangalia nyuma kuna polisi kabisa analinda eti usalama.

Yaani msajili wa vyama yupo tu,jenga picha hii ingekuwa ni chadema maana kwenye mkutano wa cdm wale mabalozi wa abroda kualikwa tu ikawa nongwa.

Awamu ya tano wameturudisha nyuma hatua ma elfu hii nchi kurudisha heshima zake,utu upendo na mshikamano itabidi iwe kipaumbele cha awamu ijayo kuanzia november mwaka huu atakapoondoka huyu mfalme anayetuvurugavuruga tu.

 
kwenye mkutano wa nini? umeona majezi ya lumumba hapo nyuma?umesahau yule balozi wa china alishavalishwa jei za lumumba na kina kinana kwenye mkutano wa hadhara?
Msanii kaitwa kutumbuiza kwenye mkutano wa CCM, ila alivyokuwa mjanja kaishia kumsifu rais wa nchi.
Labda tuulizie kuhusu kutambulika kwake kuhusiana na usanii wake.
 
Ukiona hivi ujue serikali inapumulia mipira kwenye uwanja wa hoja, ni dalili kwamba Tume Huru ya uchaguzi TZ ni zaidi ya silaha ya nyuklia kuisambaratisha CCM 2020 kwenye uchaguzi mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom