Yohana Kilimba
JF-Expert Member
- Dec 25, 2012
- 8,105
- 5,629
Hapo Majuzi Halmashauri ya Iramba Imewasimamisha Kazi na Kisha Kuwapeleka Lupango Watumishi Wake Watatu Kwa Ubadhirifu Wa Millioni 18!
Watumishi Hao Ni:
a)Mhandisi Msaidizi-David Malegi
b)Msanifu Majengo-Hashim Ndwata na Jeremia Lebeleje!
My Take:
Hili Jimbo na Wilaya Vimeshamshinda Mbunge Wetu Mwigulu Nchemba na Hawa Waliotumbuliwa ni Vidagaa,Mapapa Yenyewe Yapo!
Hapa Majuzi Halmashauri Hii Imekutwa na Watumishi Hewa Zaidi ya 140 na Hati Chafu ya Ukaguzi wa Mahesabu!
Sasa Kama Mbunge Wetu Mwenye Viti Vyote vya Madiwani Uchafu Huu Umemshinda,Sasa Tumlilie Nani Sie?
Namwomba Jesica Kishoa Akalisemee Hili Bungeni Maana Mwigulu Nchemba Hugeuka Bubu Akiingia Bungeni!