Victoria Secrets on CBS

Vipi tena Kisura... mbona picha yenyewe sipati ndugu... au pole pole unaanza badilisha jina lako to KISUBIRA... he he.. never mind, hizi Victorian Secrets naona unaishi nazo wewe mwenyewe. Hamna noma wala nini..

SteveD.

aahh, 'ever heard the familiar expression, Good things come to those who.....
 
aahh, 'ever heard the familiar expression, Good things come to those who.....

Wewewewe... watu wamesubiria ujio wa BWANA hivyo hivyo... mpaka wanakufa.. haya, subiri nami nisubiri ... labda hii itakuwa tofauti.., fingers crossed!

SteveD.
 
Sasa, yule ni Bwana, nami ni Kisura! tuliza boli kaka!
Mvumilivu hula........
 
Sasa, yule ni Bwana, nami ni Kisura! tuliza boli kaka!
Mvumilivu hula........

Hiyo boli nimetuliza chini ya miguu yangu muda mrefu mbona, sasa nimeganda nao mpaka umeanza kupungua upepo... careful i gotta be you see, najaribu kuujaza upepo tu tena ili uchezeke angalau kwa dana dana basi la sivyo uta sinyaa daima!

SteveD.
 
Ushafika uko weye? Pazuri eeeh? tehe tehe! LOL!

Sijafika, ila ukinionyesha njia nakufata nitakufata... itabidi niwaulize magwiji wa ICT kule kama wanaweza nipatia GPS ili ni navigate bila kupotea kwenye mji wa Ruth au Sodom na Gomola nakabakia nguzo ya chumvi...

SteveD.
 
Kwanini ugeuke chumvi bwana, ukiamua kufuata, unafuata tuu...kwani utakuwa unaangalia nini huko nyuma ulichokiacha? he he he tehe!
 
Kwanini ugeuke chumvi bwana, ukiamua kufuata, unafuata tuu...kwani utakuwa unaangalia nini huko nyuma ulichokiacha? he he he tehe!

Kisura, nitakuwa naangalia njia ya kurudia, nasikia paka tu ndiyo huwa hawasahau njia (mbwa sina uhakika), ila nasikia kama una mhamisha paka, inabidi kichwa chake kiangalie mbele tu, kikiangalia nyuma anarudi kule uliko mtoa.

Miye siyo paka. Hivyo inabidi kujiwekea misingi mizuri ya njia ya kurudi iwapo natelekezwa kama Adam huko bustan ya Eden!

SteveD.
 
Loh! Sasa bwa Stevie, hivi wewe huwa una-cross the ocean, valleys, mbingu mpaka ufike huko Bustani ya Eden ukifatilia Atavar tuu? Uki-win lottery je inakwaje?
 
Loh! Sasa bwa Stevie, hivi wewe huwa una-cross the ocean, valleys, mbingu mpaka ufike huko Bustani ya Eden ukifatilia Atavar tuu? Uki-win lottery je inakwaje?

Ahuh, niki-win lottery hiyo itakuwa thawabu kubwa tu kama hiyo avatar yako inanunulika, basi itabidi kutumia ushindi huo kuinunulia hiyo hata kama sitabakia na kitu.

Mbingu, bahari na nchi inabidi zote ziwe moyoni mwangu kama faraja na liwazo la safari yangu ya kufikirika kutafuta hiyo picha yako, ambayo kwa sasa imebakia katika ulimwengu wangu wa ndoto tu, kwani reality naona inazidi kupiga kwata kwa kasi kunikimbia.

Loh! uta-spend your fortune to get her picture? Is she worth it ??! Kwani, what's the catch?????

Haya basi, (hope utaweza kuifungua). You have stated your case, muone basi Mama Afrika huyu.

http://www.missio-aachen.de/Images/titel_Ausstellung%20Mama Afrika_tcm14-44367.jpg
 
Loh! uta-spend your fortune to get her picture? Is she worth it ??! Kwani, what's the catch?????

Haya basi, (hope utaweza kuifungua). You have stated your case, muone basi Mama Afrika huyu.

titel_Ausstellung&

titel_Ausstellung%20Mama%20Afrika_tcm14-44367.jpg

Hakika nimemwona mama Africa! Ahsante Kisura!

SteveD.
 
Back
Top Bottom