Victoria Secrets on CBS

Kisura

JF-Expert Member
Jun 21, 2007
364
195
So, did you watch the show? What did you think? Do you agree on what they say, that the women in there are some of the most beautiful on Earth?
 
BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
124,987
2,000
Beauty is in the eye of beholder. They have different standards when it comes to beauty as compared to our standards, but the show was EXCELLENT. There was one brown lady around 20 to 22 years young, she looks like Ethiopian that lady is BEAUTIFUL but other participants were below average when it comes to our standards...:)
 
Kisura

JF-Expert Member
Jun 21, 2007
364
195
Beauty is in the eye of beholder.

I thought you'd say that...

They have different standards when it comes to beauty as compared to our standards, but the show was EXCELLENT.

Well...Nilipenda Seal(Artist) na mkewe Heidi Klum walivyokuwa wana-act, nice indeed! I think hata last year Seal was also performing. (Waswahili tunasema, tunaonyeshwa action)

There was one brown lady around 20 to 22 years young, she looks like Ethiopian that lady is BEAUTIFUL but other participants were below average when it comes to our standards...:)
Ndio taipu zako eeehh? I think utakuwa unamsema Selita Banks/Ebanks, kama ni yeye, anatoka Cayman Island yule.
 
Steve Dii

JF-Expert Member
Jun 25, 2007
6,404
2,000
Kisura nawe jina lako tamu mno bwana.. nilisha kwambia toka mwanzo nashindwa kuvumilia!! Weka basi avatar yako au nitumie picha basi... :)

SteveD.
 
Kisura

JF-Expert Member
Jun 21, 2007
364
195
Kisura nawe jina lako tamu mno bwana.. nilisha kwambia toka mwanzo nashindwa kuvumilia!! Weka basi avatar yako au nitumie picha basi... :)

SteveD.

Usije-kushindwa tu ku-handle the heat nitakapoanza! Basi sema unataka Avatar au Picha, wewe sema tu, usipate tabu, manake umeanza talalila siku nyingiiii sana!!!!LOL!
 
Steve Dii

JF-Expert Member
Jun 25, 2007
6,404
2,000
Usije-kushindwa tu ku-handle the heat nitakapoanza! Basi sema unataka Avatar au Picha, wewe sema tu, usipate tabu, manake umeanza talalila siku nyingiiii sana!!!!LOL!

Nitumie picha basi mwaya...

SteveD.
 
Steve Dii

JF-Expert Member
Jun 25, 2007
6,404
2,000
Sasa mbona hujanipa P.O Box, nipatie full mailing address yako basi,:)

AAh jamani, huna hata moja ambayo tayari iko kwenye kikokotoa chako (computer) uniunganishie kwenye PM, pls just be as sweet as your name and send me your foto...
7whnddw.gifSteveD.
 
Kisura

JF-Expert Member
Jun 21, 2007
364
195
AAh jamani, huna hata moja ambayo tayari iko kwenye kikokotoa chako (computer) uniunganishie kwenye PM, pls just be as sweet as your name and send me your foto...
7whnddw.gifSteveD.
AAh huyo ni mimi na wewe hapo, si unaona hata hapo naona haya! :rolleyes:

Unajua wengine sie IT challenged! Ndio maana ni mwendo wa posta tuu! Ebu kwanza nitumbuize na kiburudisho(nyimbo) wakati najaribu ku-figure out hii kitu, halafu tuendelee...
 
Steve Dii

JF-Expert Member
Jun 25, 2007
6,404
2,000
AAh huyo ni mimi na wewe hapo, si unaona hata hapo naona haya! :rolleyes:

Unajua wengine sie IT challenged! Ndio maana ni mwendo wa posta tuu! Ebu kwanza nitumbuize na kiburudisho(nyimbo) wakati najaribu ku-figure out hii kitu, halafu tuendelee...

Hamna tatizo, je wimbo upi unapenda nikuwekee Kisura....

SteveD.
 
Kisura

JF-Expert Member
Jun 21, 2007
364
195
Kitu fulani kizuuuuri, kilichotulia kitachonifanya nitafute picha chap chap.......
 
Steve Dii

JF-Expert Member
Jun 25, 2007
6,404
2,000
Kitu fulani kizuuuuri, kilichotulia kitachonifanya nitafute picha chap chap.......

Poa Kisura, naomba ubonyeze hapa chini ili kusikiliza wimbo...

[media]http://www.youtube.com/watch?v=MyUa7QnyNOw[/media]

Nimechagua huu kwa sasa, lakini nakuahidi kuwa nikisha ona tu SURA yako nita weka ule ulio tamanio lako la rohoni! Amini usiamini, nitapatia wimbo uupendao...

SteveD.
 
Kisura

JF-Expert Member
Jun 21, 2007
364
195
Mambo ya Kenny Thomas haya, mimi naomba nikurudishie na one of his numbers too, "Outstanding"... Kwa mtaji huu, looh, basi nikatafute mgiga picha sasa!

....nikisha ona tu SURA yako nita weka ule ulio tamanio lako la rohoni! Amini usiamini, nitapatia wimbo uupendao...
SteveD.
Je jina lisipo-live to its standard, ndio unanitosa?? au utaniletea tu hiyo nyimbo?? tehe tehe tehe!!! Si mchezo! Baadae basi.
 
Steve Dii

JF-Expert Member
Jun 25, 2007
6,404
2,000
Mambo ya Kenny Thomas haya, mimi naomba nikurudishie na one of his numbers too, "Outstanding"... Kwa mtaji huu, looh, basi nikatafute mgiga picha sasa!

Je jina lisipo-live to its standard, ndio unanitosa?? au utaniletea tu hiyo nyimbo??tehe tehe tehe!!! Si mchezo! Baadae basi.

Siwezi kukutosa Kisura. Si unajua tena, wahenga walishatunenea ya maana, nami naamini lisemwalo lipo na pafukapo moshi pana moto ati...

SteveD.
 
BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
124,987
2,000
I thought you'd say that...Well...Nilipenda Seal(Artist) na mkewe Heidi Klum walivyokuwa wana-act, nice indeed! I think hata last year Seal was also performing. (Waswahili tunasema, tunaonyeshwa action)

Ndio taipu zako eeehh? I think utakuwa unamsema Selita Banks/Ebanks, kama ni yeye, anatoka Cayman Island yule.

Kisura mbona unaanza uchokozi!?...:) mimi taipu zangu zina range maalum inatakiwa isizidi wala isipungue...:) Na ile ya Selita Banks imekuwa included...:) Naam hilo ndio jina lake yule Kimwana. Seal aliniacha hoi ule wimbo wake nautafuta kwa udi na uvumba. Kwa kweli ilikuwa nzuri sana wangekuwa wanafanya mara mbili kwa mwaka June au July na December. Hmmm! Kisura you're amazing...:)
 
BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
124,987
2,000
[media]http://www.youtube.com/watch?v=eZllNcW0G7Y&feature=related[/media]
[media]http://www.youtube.com/watch?v=gq36lAbYwrE&feature=related[/media]
[media]http://www.youtube.com/watch?v=tiigOWjBQuM&feature=related[/media]
[media]http://www.youtube.com/watch?v=_g1hQSHnj-Y&feature=related[/media]
[media]http://www.youtube.com/watch?v=W9xPkXGUSyU&feature=related[/media]
[media]http://www.youtube.com/watch?v=AmbwhHZkXFo&feature=related[/media]
[media]http://www.youtube.com/watch?v=AmbwhHZkXFo&feature=related[/media]
 
Kisura

JF-Expert Member
Jun 21, 2007
364
195
Kisura mbona unaanza uchokozi!?...:) mimi taipu zangu zina range maalum inatakiwa isizidi wala isipungue...:) Na ile ya Selita Banks imekuwa included...:) Naam hilo ndio jina lake yule Kimwana.

Aahhhhhh Bubu (a.k.a Mzee wa Buzwagi), si uchokozi, nilikuwa nacheki tuuu!

Seal aliniacha hoi ule wimbo wake nautafuta kwa udi na uvumba.
Kwa kweli ilikuwa nzuri sana wangekuwa wanafanya mara mbili kwa mwaka June au July na December. Hmmm! Kisura you're amazing...:)

Thanks:) Sasa umepata ile namba ya Seal? inaitwa "Amazing"? is that it? Ingia Limewire bwana, utaupata.
 
BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
124,987
2,000
[media]http://www.youtube.com/watch?v=HzbTyhfXNS8&feature=related[/media]
Everybody says you're amazing Kisura...:) and that is the truth. Yes, I am planning to get this new album asap. Enjoy the rest of the weekend.
 
Steve Dii

JF-Expert Member
Jun 25, 2007
6,404
2,000
Vipi tena Kisura... mbona picha yenyewe sipati ndugu... au pole pole unaanza badilisha jina lako to KISUBIRA... he he.. never mind, hizi Victorian Secrets naona unaishi nazo wewe mwenyewe. Hamna noma wala nini..

SteveD.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom